Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Mungu siku zote ni mwaminifu.. Jerry Murro Mungu aendelea kukutunza na akutendee kama uwazavyo ili matakwa yake yatimie kwa dhihaka juu ya binadamu Mwenzako.

Kiruuuuu Jerry Muro na impact ya pingu au unamwombea Jenny Muro yule dada Manka mwenye labarotory yake na duka la dawa akiwasaidia wasiojiweza?
 
Muro kuna fuse za hekima na busara zimeondoka kichwani ; kuna shida iko nayo si bure. CCM haitoi vyeo kwa madebe matupu
 
Naomba kuuliza, hiyo 50% ni Kwenye Gross Profit au Net Profit.

Kama kwenye Gross Profit, sio move mbaya.
Na kama ni kwenye Net Profit basi Barrick watakuwa wameichezea tena Serikali.

Kumbukeni hawa jamaa wanatumia zile system za Offshore parent company, yaani kwenye Gross Profit kuna pesa za marejesho wanalipa kampuni mzazi. Kwenye haya marejesho riba huwa ni kubwa.

Ndio maana kampuni hizi zinakuwana na Net Profit ndogo sana , pesa yote huwa wanahamishia kwa Parent company kigezo ikiwa ni kulipa deni la mtaji.
 
Mkoa wa Kilimanjaro ulitowa waziri mmoja tu Profesa Magembe na sasa amepigwa chini mkoa mzima hauna waziri.

Huu ndio ukweli.
Rais hajakosea kumwondoa Maghembe kwani mara ya mwisho ni maeneo ya milimani tu huko kwa Maghembe ndiko huduma za muhimu za jamii zilikuwa zinakosekana na Maghembe kafanya kazi kubwa.
Kilimanjaro karibu kila Kijiji chenye watu kina umeme na maji na barabara, sasa waziri tunamhitaji wa kazi gani. Tukitaka kuchimba barabara tunachanga hela ya mafuta tunaazima Magreda ya kaka Mbowe na wengine. Ukiacha wahindi na waarabu wanaofuata kwa kuchangia uchumi wa nchi hii kwa kulipa kodi bado ni watu kutoka au wenye asili ya Kilimanjaro kwa sababu ndo wenye biashara kubwa na pia ndo wanafanya percentage kubwa ya waajiriwa kwenye taasisi nyingi.
Rais yuko sahihi kuwaacha wajitegemee.
Jerry Muro hayuko kwenye hili kundi kwani ni mwana wa uasi na ni kyasaka
 
Miongoni mwa mambo mazuri machache ambayo Mfalme wetu ameyafanya basi pamoja na hili,Hongera Mtukufu Mfalme umeonyesha mfano kwa hawa wanyonyaji weupe kuwa sisi watu wa tofauti kidogo na ninaamn kuna mataifa mengi ya Afrika yatathubutu kuiga ulichokifanya,nasisitiza tena HONGERA HONGERA HONGERA
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017

Kumbe nawe Jerry hujui kiingereza? huoni apo chini hiyo barua ya Barrick inasema kuna majadiliano yanaendelea na ni subject to approvals...iweje utuambie maneno yako ya ajabu apa
 
Rais hajakosea kumwondoa Maghembe kwani mara ya mwisho ni maeneo ya milimani tu huko kwa Maghembe ndiko huduma za muhimu za jamii zilikuwa zinakosekana na Maghembe kafanya kazi kubwa.
Kilimanjaro karibu kila Kijiji chenye watu kina umeme na maji na barabara, sasa waziri tunamhitaji wa kazi gani. Tukitaka kuchimba barabara tunachanga hela ya mafuta tunaazima Magreda ya kaka Mbowe na wengine. Ukiacha wahindi na waarabu wanaofuata kwa kuchangia uchumi wa nchi hii kwa kulipa kodi bado ni watu kutoka au wenye asili ya Kilimanjaro kwa sababu ndo wenye biashara kubwa na pia ndo wanafanya percentage kubwa ya waajiriwa kwenye taasisi nyingi.
Rais yuko sahihi kuwaacha wajitegemee.
Jerry Muro hayuko kwenye hili kundi kwani ni mwana wa uasi na ni kyasaka
Chasakaa
 
Ngoja arudi atujuze kma mazungumzo yataendelea kupata hayo ma trillion au pesa ya mboga tuliopewa(0.3%) ndo imetoka.tunakosa mambo mengi xana.we ur no longer updated.Pona haraka Lissu...
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017

Jeri akili hazitakurudi kama hutarudi kwa mzee mengi aliyekusomesha na kupiga magoti ukimuomba msamaha,vinginevyo mda unavyozidi kwenda ukichaa unakuzidi
 
Any proposal agreed in principle between Barrick and the Government will require Acacia’s approval, and Acacia will consider any agreement once it receives the full details.

Rafiki yangu muro nadhani darasani umehudhuria unaiona hiyo statement?
Ficha basi hata kidogo huo utupu kwenye akili yako!
Kwa akili yako sasa ni wakati wa kushangilia na kubeza watu kweli?
Mlinitumainisha hela ya Noah na sasa mmeambulia hela ya kuku 14,000! njoni taratibu kwani nina msiba moyoni,mbwembwe na majigambo yenu hayana tija kwangu naona mmefeli.
Unamzomea Lisu bila haya ni nani alileta huu msiba nchini kwetu,sio Mkapa na Kikwete,kwa nini huwazodoi hao?
Au kwa kuwa wanatokea Lumumba kama wewe?

Kumbukeni mnasafisha choo chenu cha ndani mlichochafua wenyewe! Majirani wanahusikaje hapo?
Hata kama hamna hekima basi muwe na aibu.
 
Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
Unatupa tabu kukuandalia uteuzi. Weka bhana namba yako ya simu
 
Back
Top Bottom