Recent content by furahi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani kupitia MCC, China wajipanga kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati nchini

    Hivi vidude ni vijizi sivipendi mimi ni bora na hao mcc.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    Kwa kifupi:Kwa ninachofaham Yesu alipokua akiishi duniani wayahudi waliendelea na taratibu zao za kawaida. Pasaka ilikua moja ya sikukuu zao walipokumbuka kutoka utumwani -"Exodus."Kwa bahati nzuri au mbaya Yesu baada ya kufa nae alifufuka siku ile ile ya ile sherehe. Inaruhusiwa kunisahihisha...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Manabii wanaokwenda na wakati

    'Genuwine'
  4. F

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

    Hata Shubi ni wa Ruge. Aliwahi post Shubi Mutahaba kwenye page yake
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu jinsia ya first lady wa Marekani Michelle Obama

    Nimewapenda buuure members wenzangu! Hivi mlikua wapi cku zote? Lazima heshima irudi hapa JF...jamaa lazima achange ID
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Nina amini wapo ila nadhani unawafaham vizuri wanawake wenye interest na uongozi/siasa za Tanzania. Wengi wao ni wa aina gani..u know..
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Kama mwanamke najisikia kudhalilika sana wanawake wenzangu wanavyolilia hizo 50/50. Kwa nini mtu asifight kwa nguvu zake? Nachukia sana hii mambo ya kubebana kisa tupate 50/50.. Kwa swala la elimu ni sawa mwanamke apiganiwe maana elimu ni kufight. Akishamaliza shule anaanza kubebwa.. Akishabebwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Hola! Plz usituletee uchafu wa Dar mheshimiwa!!! Haha!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Acha kutisha watu basi! Ina maana hakuna mwenye akili nchi hii zaidi ya magu? Usitupeleke enzi za Nyerere. Alivyochagua mheshimiwa rais ana maana yake na sababu zake lakini isiwe sababu ya kuona watu wengine hawana akili. Punguza mihemko
  10. F

    JamiiForums Tanzania Majina ya wasichana na sifa zao kwenye mapenzi

    Hiyo Grace na Neema ni vitu 2 tofauti????
  11. F

    JamiiForums Tanzania Watu huona nini wanapokaribia kufa?

    Kwani God's ina maana ya many gods? Rudi shule ndugu
  12. F

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mheshimiwa kapigiwa simu clip nzima iko youtube link kwenye insragram bio ya mange. Mazungumzo yake yameegemea sana kumuangushia jumba bovu dadake! Anaongelea mpaka mahusiano ya dadake na jamaa.. Sidhani kama kulikua na haja hiyo.. Kwani angekataa kuzungumza wangemfanya nini.?
  13. F

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Grammar yako sio nzuri pia!
Back
Top Bottom