mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kuna muda niliwahi kuketa thread hapa ambayo mimi pia niliikuta mahala hivo nilibeba kama ilivokuwa na kuileta.
Thread ilikuwa inamlenga mke wa rais wa Marekani bibi Michell Obama kuwa ni wa kiume (sio shemale, bali was born a man).
Sikuwa na lengo baya la kuileta japo kuna watu walinishambulia sana, lengo langu lilikuwa kufahamu je kuna ukweli?
Well, nimepita pita nimekuta hili pia. Sio mbaya tukishea katika kupata ilo.
Video source ni jamaa anaijiita SIG (Silence Is God).
Anasema kuwa ana proof na uthibitisho kuwa Michell Obama ni mwanamke na si mwanaume kama wanavyokosoa.
Wewe unaona hili ni mambo ya racism ama ni kutafta umaarufu?
Video hio apo.