Recent content by Funge

  1. F

    Utapeli kwa mitandao ya simu umezidi

    Na mimi nimetumiwa meseji hii ILE HELA ITUME KWENYE NAMBA 0743087012. Na nyingine ni 0767161499 Laini yangu inasumbua mpesa. Bila shaka kwa wa Wale ambao hawana taarifa na utapeli huu watakuwa wameibiwa sana. TCRA wasaidieni watanzania wasiibiwe.
  2. F

    Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

    Mimi ni mwl wa chuo kikuu nchini zaidi ya miaka 20. Nimewafundisha wanafunzi kutoka zanzibar. Wengi ni dhaifu sana kwenye masomo. Usiombe upate mwanafunzi wa ku supervise dissertation, hapo ndipo utakapojua uzito wa kazi hiyo. Tuseme kweli wengi ni wadhaifu hata wale waliomaliza na GPA nzuri...
  3. F

    Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Wananchi wangesikia hoja zao kupitia vyombo vipi vya habari?
  4. F

    Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Hata kama wangekuwepo, bado ndiyo ingeshinda.
  5. F

    TB Joshua Ajitetea Kashfa Ya Panama paper

    Wajumbe wote wa kuzimu washindwe in Jesus Name. Watakuja kwa njia moja, Bwana atawatawanya kwa njia saba. Wavikwe koti la aibu na fedheha.
  6. F

    Nafasi ya Tutorial Assistant

    Hata kupeleka maombi kabla ya matangazo inawezekana. Nafasi zikitokea wanaangalia pia wanaoqualify na waliokwishwa omba. Hilo nimeliona likitokea.
  7. F

    Nafasi ya Tutorial Assistant

    Umesoma wapi na umesoma nini? Kulingana na policy ya sasa minimum gpa ni 3.8. Kwa hiyo una qualify. Kama unaweza soma master degree kupata nafasi inaweza kuwa nyepesi kidogo. Kwa sasa vyuo vingi wanapendelea kuajiri kuanzia master degree. Hata hivyo nafasi wakati mwingine zinapatikana. Mungu...
  8. F

    Mtoto Apata Mtoto

    Usijidanganyike. Hawa siyo watoto wadodo. Mmoja wapo amezaliwa mwak 1997, mwingine sikumbuki.
  9. F

    Sababu 11 zilizofanya nipende wake za watu

    Sababu nyingine ni kuwa unateswa na pepo mahaba.
  10. F

    Dunia imekwisha

    Mbona hizi taarifa zinaonekana za kutunga?
  11. F

    Nafasi za kidato cha kwanza 2016 zatangazwa

    Wadau naomba kujua ni website gani naweza kuona majina na shule wanakoenda wanafunzi wapya. Natanguliza shukrani
  12. F

    TANESCO yatangaza Kiama

    Tafadhali fafanua! Kihama ni kitu gani?
  13. F

    Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

    Nami niungane na mtu aliyetangulia kusema achana na mpango huo. Kuingilia ndoa ya mtu ni dhambi kubwa, na nina imani malipo yako yanakuja. Unajifariji kwamba unaweza kumvunjia ndoa kwa laki sita. Lakini mimi nakwambia, on the contraly uhai wako unaweza kuwa mashakani. Kama hujui kifo kachungulie...
  14. F

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Sehemu ya ibada ambayo inaruhusu uzinzi, labda hii itakuwa ile ya waabudu shetani.
Back
Top Bottom