F Funge JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 581 Reaction score 167 Dec 17, 2015 #1 Wadau naomba kujua ni website gani naweza kuona majina na shule wanakoenda wanafunzi wapya. Natanguliza shukrani
Wadau naomba kujua ni website gani naweza kuona majina na shule wanakoenda wanafunzi wapya. Natanguliza shukrani
M Mr.Mak JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 2,841 Reaction score 1,105 Dec 24, 2015 #2 Du! Hii sio kawaida kwanini hujapewa majibu. Does this mean hakuna hiyo website au hawajatoa majina
Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,796 Dec 25, 2015 #3 Nenda kwenye ofisi zz halmashauri ambako shule husika ipo, hapo utaona majibu na wapi amepelekwa huyo unayemuulizia nafasi.
Nenda kwenye ofisi zz halmashauri ambako shule husika ipo, hapo utaona majibu na wapi amepelekwa huyo unayemuulizia nafasi.