Dunia imekwisha

Dunia imekwisha

me nadhan kila mmoja atabeba mzigo wake chamsing nikumwimba mungu kadri ya iman yako inavokutuma..!
 
karib katika uislam

sasa baba paroko na wanawake wapi na wapi wakati hata yesu hawajui wanawake
 
karib katika uislam

sasa baba paroko na wanawake wapi na wapi wakati hata yesu hawajui wanawake
Uislam unahusiana vipi na hii habari? Hakuna masheikh wanaofanya ufirauni kama huu? Nao waambiwe karibuni katika Ukristo? Acha umaandazi hizo ni hulka za mtu mmoja mmoja sio dini
 
Ukifa dunia ndio imeisha tena kwako mahana imeandikwa kila kiumbe kilicho hai ataonja umauti na kama msafi atakutana na mungu mbinguni. Mahana ya kwamba hakuna binadamu aliye hai wala majini walio hai au wanyama, ndege, samaki, wadudu walukao na wanao tambaa walio hai hakuna anayejuwa au kufahamu mwisho wa dunia .hivyo basi tenguwa kauli yako kijana
 
Last edited:
Fata maneno na ujumbe wa bwana anaotoa mtumishi. Matendo yake achana nayo Mungu atadeal nayo hakuna aliyekamilika sote ni wenye dhambi.
 
mie kwa upande wangu haya masuala ya imani kila mtu linamhusu yeye kama yeye na sioni sababu ya kukomaa kumtaka mtu aamini unachoamini wewe au kufanya unavyoexpect wewe..nobody is perfect, na wote tutakufa na kila mmoja atakwenda kudeal na namna alivyoishi maisha yake hapa duniani...so kila mtu ni muhimu sana kwa imani yake amche Mwenyezi Mungu, bila kunyooshea mtu mwingine kidole kuwa anaishi vipi mpaka suala hilo likukwaze kiasi hicho...SIJAKATAA kuwa tusikumbushane mambo ya muhimu kama haya, LA! NINACHOSEMA KUKUMBUSHANA NI MUHIMU ila kila mtu AKILI KUMKICHWA...afuate njia sahihi au isiyo sahihi ni maamuzi yake...
 
LA MAANA KUISHI KWA KUMPENDEZA MUNGU TU KWA FAIDA YAKO MWENYEWE,HAWA WATUMISHI WA CKU HIZI WENGI NI WAZUSHI TUU
 
uhame kanisa kisa umeona picha ya mchungaji anamkisi kondoo....??? wewe ni waajabu kabisa
 
Hivi kuna dhambi kubwa na ndogo?
Mbona mtu akidhini mnachukulia like big sin ila mtu akisema uongo, akiiba , asipowaheshimu wazazi wake mnachukulia poa tu!!!!
Mm nadhani hapa ndipo lilipo tatizo our perceptions abt sin.

Ni kweli inatazamiwa kiongozi wa kiroho lazima awe kioo cha jamii ili kumwakilisha Mungu anayemhubiri na kutaka jamii imfuate, lazima adhibitishe huyo Mungu anayeweza kuwasaidia wengine, amemsaidia yeye kwanza ili kuifanya imani kuwa ni zao la matendo na siyo nadharia tu.
Ila tukumbuke mifumo ya kuwapata hawa viongozi wa kidini ndiyo ina weaknesses sana, kwani ni mfumo wa kibinadamu wa kuwajaza maarifa na kuhtimu kama vile unafanya coz ya ufundi mwashi, ukishapata cheti regardless of motive behind tayari unaanza tumika madhabahuni.

Nachotaka ukione, paroko au mchungaji ni mtu kama wewe na wala usitegemee makubwa sana kutoka kwao, tunasaidiana wote ili tufikie malengo.

Neno la mungu ktk biblia kitabu kimoja cha injili kuna maneno kama haya

" mafalsayo na waandishi wameketi kwenye kiti cha Musa, wasikilizeni wanayofundisha ila msitende kwa kadri ya matendo yao.....

Pengine aliwaita viongozi vipofu.....

Hii inamaanisha kuwa msingi wa imani zetu lazima ujengwe kwenye mafundisho ya imani zetu na sio watu wafundishao imani zetu.

Nikishindwa kuizuia dhambi haina maana Yesu alishindwa na dhambi.

Yesu alikuja kutuokoa ss na dhambi zetu hivyo mwenye dhamana na imani yako ni yesu na wala si baba paroko.

Hivyo jitafakari huko wapi msingi wa imani yako?
Je ni kwa mchg au paroko?
Au ni kwa Mungu wako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom