Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 782
- 1,056
Habarini wanataaluma.
Nina dhamira na Nia ya dhati ya Kuwa MWALIMU wa chuo kikuu,
Nina shahada ya kwanza,
G.P.A 3.9,
Nimejitahidi Ku_apply nafasi ya Tutorial Assistant (T.A) kufuatia matangazo mbalimbali ya vyuo Tofauti,
Ila bado sijabahatika Hata kuitwa Kwenye usaili.
___
Nimekaa limenijia Wazo la kujaribu kutuma barua za maombi ya nafasi hiyo ya T.A katika vyuo mbalimbali nchini,
vya umma na vya binafsi,
Pasipo vyuo hivyo kutangaza nafasi za kazi.
JE,
kuna uwezekano wa maombi hayo kuzingatiwa?
Nawasilisha.