Recent content by fundirabbit

  1. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Wamulikeni Watu Hawa

    Dodoma wapo pia. Wanakaa kwenye mahema ya blue, wanaweka pikipiki, tv, redio wa kuzuga eti zinashindanishwa. Mmoja yuko kwenye gari. Mwingine anaongea kwa microphone Mmoja anachezesha kamari. Alafu cha kushangaza na akina mama wnajihusisha humo. Ukija dodoma ukiwaona hawa wanakaa karibu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Viwili, fensi zipo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

    SABABU ZA SIMU "KUCHEMKA" * Imezidiwa size : Size ya memory imejaa. Na tena ukiwa unatumia memory card na umejaza vitu basi hapo ni shida * Unaitumia wakati ina charge : Kila betri ina charging cycle yake kwahyo uki interrupt charging cycle ya baadhi ya simu inashindwa kuchaji na joto...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hivi viwanda kweli vitajengwa?

    Hahhah
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hivi viwanda kweli vitajengwa?

    Viwanda vinajengwa na wananchi au wawekezaji. Serikali kazi yake ni kulegeza sheria zisaidie hilo suala, Basi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Njoo Kisasa. ela yako tu. 150k kwa Mwez
  7. F

    JamiiForums Tanzania Anything new in ICT after diploma . Nataka nibadilishe uelekeo.

    Nenda computer engineering uone kma ni yaleyale.
  8. F

    JamiiForums Tanzania IDEA: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa hali ya sasa

    Kama una idea ya App ya simu na hina uwezo wa kuitengeneza wasiliana nasi Instagram: @fundirabbit_design_lab
  9. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku design mobile App

    Phonegap.com Gonative.io Joren.Io Appypie.Com Instagram: @fundirabbit_design_lab
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

    According to Philosophy. Mafanikio ni yale unayoweka mwenyewe. Unaweza kumuona Messi au Ronaldo wamefanikiwa lakini wao wenyewe wanaona bado hawajafikia malengo. Kwahyo ndio mtazamo wangu. Kuhusu pesa na elimu. Elimu ni kitu kipana. Unaweza ukawa Na Phd ya Lugha lakini ukiumwa unaweza...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Mapishi Mtihani Kwenu: Ni chakula gani hicho?

    its common food. spaghetti & sausage
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Nigeria ina Abuja USA ina Washington DC ni ili kutenga serikali na private sectors. Its economically advised kugawa fursa nchi nzima Hyo plan ilikuepo tangu enzi za uhuru. Wana move taratibu sana. Ila Sasaiv wanasema wanataka wawe serious
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata short course ya graphic designing na video editing kwa Dar?

    Mara mia nane ujifunze mwenyewe
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tanzanian made clean animations

    Naombeni instagram akaunti yenu ni wa follow
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Back end programming. Ni kitu kikubwa sanaaaa. kwa hiyo angalia unataka kufanya nini kwanza ndipo utafute language yako. Ukisoma ohp kama php ukija kumaliza utashangaa huwezi fanya chochote. So anza na lengo. Je ninasoma php ili nifanye nini? pia naomba tuwe connected instagram...
Back
Top Bottom