Mkuu hizi nadhani ni tambi aina ya soseji
Ngoja niondoke mm niko kwa diet siku ya pili huku tutaharibiana wakuu!!Vyakula vingne hivi ndio maana watu matumbo yanajaa hovyo halafu wanasema vitambi.
Watu mapresha ,visukari , utakuta mtotovmdogo lakn mkitambi huo halafu wanajisifia miili ina afya.. Kaaz kwelikweli