HahhahUfafanuzi ulishatoka ni vi-wonder sio viwanda
Watunzi wa uongo wa ccm sasa hivi wako maabara wakitoka huko hutaamini,lakini pia kumbuka kuna watanzania wengi wamefunga ndoa na ccm,na wapo wanaoamini bila ccm hakuna maisha,so wote hao uongo wowote utakao tungwa wao poa tuWaziri wa viwanda anasema kazi ya serikali siyo kujenga viwanda ni kuweka mazingira mazuri watu waje kujenga viwanda.
je wasipokuja kujenga hivyo viwanda hata kama mazingira yatakuwa mazuri serikali itawandanganya nini tena watu wake ifikapo 2020?
View attachment 468907
Ni kutamka tu..kiwanda kinakuwa!!
Nafikiri Waziri yuko sahihi kabisa. Serikali yeyote huwa HAIJENGI viwanda ila huweka mazingira mazuri kwa WAWEKEZAJI.Waziri wa viwanda anasema kazi ya serikali siyo kujenga viwanda ni kuweka mazingira mazuri watu waje kujenga viwanda.
je wasipokuja kujenga hivyo viwanda hata kama mazingira yatakuwa mazuri serikali itawandanganya nini tena watu wake ifikapo 2020?
View attachment 468907
Mkuu viwanda vinajengwa vingi tu..
Nchi nzima ipo busy na ujenzi hivi sasa..
Serikali inafanya makubwa sana hii..
Ondoa hofu.