kijanaChakavu
Member
- Nov 6, 2016
- 69
- 46
Hili jukwaa limevamiwa na wapumbavu sikuhizi!a year or two was the only forums where every thread here taken seriously,watu kama mkwawa mwl rct ,khalfani 56 na wengineo wanjibu kila suali na kututatulia ushamba wetu bila kuchoka!Kama hamna majibu si mkae kimya waje wenye akili wampe majibu.
Shenzi wee!kumbe tecno..
Huna adbau kabisa wewe!Haina rejeta?
Mwana kharamu wee!Imekula ngada, ipeleke kwa mkuu wa mkoa wa Tanzania
Pumbavu mkubwaSasa kama inachemka si uweke unga upike ugali?
Baradhuli wewemi nikajua unaongea vitu vya maana kumbe unaongelea tEkinO!!!!!! next time jaribu kuwa serious kidogo.
Nakuhifadhi mjinga wahedDah.... Badilisha matumizi.. Ifanye jiko[emoji12] [emoji12]
Dah.... Hoja ya kijinga hujibiwa kwa ujinga..... vile vile up umbavu kwa upum. Bavu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimeshawapa majibu yenu wahusika wa upumbavu wote japo si kanuni na desturi ya jukwaa hili nimefanya hivyo kuonesha msisitizo mutafute jukwaa lingine la kufanya ujinga wenu !kilichobaki msitie miguu jukwaa hili !nyambaf!
Kuna sababu nyingi tu husababisha simu kuwa ya moto, lakini kuna sababu moja ambayo ndo husababisha simu nyingi kuwa za moto hasa simu za Android, sababu hii ni kuibebesha simu app nyingi kupita uwezo wake, simu inapokuwa dhaifu halafu ukaiweka apps nyingi zinakuwa zinagombania system resources hasa pale unapowasha data maana kila app hutaka kuaccess data connection ambapo hugombania RAM na processor na kufanya simu kuwa ya moto. Solution ni kupunguza apps na kubaki na chache kulingana na uwezo wa simu, kama hutaki kupunguza apps itakubidi ununue simu yenye sifa za hali ya juu yaani high endWakuu naomba mnisaidie simu yangu ina tatizo la kuchemka kila nifunguapo data ,nimejaribu kurestore simu zaidi ya mara tatu ili niondokane na hili tatizo la kuchemka kwa simu yangu lkn naona bado iko vile vile mpaka ss inachemka ,pia betri lake ni unremovable ,nimejitaidi kuondoa app zisizo za msingi katika simu yangu lkn bado ipo vile vile ,nimejaribu kuweka cool master inasaidie lkn bado ,ndo nimeona nije kwenu najua humu kuna wataalam watanisaidia .SIMU YANGU TECNO W4 WALA HAIJAWAHI ANGUKA CHINI NA SIJAWAHI KUICHAJI IKIWA NA MOTO MM HUWA NAIACHA INAISHIWA CHAJI NDO NAWEKA,ILA NISIPOFUNGUA DATA HAICHEMKI .