RICH-HARD
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 361
- 339
- Thread starter
- #21
Kuwa na Pesa nyingi haimaanishi upo nazo mkonon au benk kaa unavyo fklPesa kwa lugha nyepesi ni nyenzo au kiunganishi kati ya ndoto zako na maisha halisi. Huwezi kujiita uliyefanikiwa kwa kuwa na pesa nyingi benki
Ushajiuliza kwann hakuna tajili aliye ajiriwa
TAKE UP RESPONSE ABILITY MKUU