Recent content by fundi_njaa

  1. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    ushauri wangu wewe bado mdogo sana miaka 24 nenda kajazie nyama koz za safety...kwenye site au projecty unaezakupata kaz afu coz zenyewe kama sijakosea ni za week mbil au tatu tu
  2. fundi_njaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

    wanawake sio wakuamini ndio maana siwezi ishi au kuzalisha mwanamke mmoja atakama ni ndoa ni watatu akili lazma ikaesawa
  3. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania SUV to Pick Up

    tatizolipo kwa serikal mtu akitaka kuanzisha project flani ndio wanaanza kukusanya kodi vizuri ndio maana uwekezaji kwetu ni shida na utaendelea kua shida mpaka tufe kizaz chote maoni yangu mtanzania akianzisha project ifuatiliwe mpaka itakapoanza tengeneza profity ndio waanzishe kodi zao zote
  4. fundi_njaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwambia mpenzi wangu kuwa ananuka mdomo?

    Naomba ufanyeutafiti wa matumizi ya kitunguu swaumu kunasehemu nilisoma kuwa kinasaidia nadhani kwakumeza punje atamoja nakutafunapia...em jaribu kufatilia utanishukuru japo kwakusema asantee tu sawa
  5. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenye chumvi?

    na tulivokuwa tunatumwa usiku unaambiwa usime chumvi sema dawa ya mboga...mimi mpaka leo sielewi kwanini
  6. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    uko wap kiongozi??
  7. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

    Iv kuna nchi za nje na nje ya nchi em nielimishe maana naifikilia hiyo point no 2 na 3
  8. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya za kiswahili ambazo mtu unapaswa kuziepuka

    usipo vitupa ukavipika huo ni uswahili wa dar na pwani
  9. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku with low capital

    Mwenye mayai ya kuku wa kienyeji ya kutotolesha aliopo mwanza nahitaji trey moja
  10. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya za kiswahili ambazo mtu unapaswa kuziepuka

    kuongea kiswahili wakati unajua kiluga chako ni uswahili wa hadhi ya phd
  11. fundi_njaa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mwenye mayai ya kuku wa kienyeji ya kutotolesha aliopo mwanza nahitaji trey moja
  12. fundi_njaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata funzo kubwa sana

    ukitaka kujiua au kufa mapema waonee huruma wanawake...bro vip ukiambiwa mtoto sio wako naushajenga fikra zahuruma pole kaka presha inakukaribia kabisa yani
  13. fundi_njaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For every action there is an equal and opposite reaction

    Dunia itakua inatafuta njia nyingine ya mzunguko maana tunakoelekea sio kuzuri mama anashea na mtoto
  14. fundi_njaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Dunia itakua imehama njia
Back
Top Bottom