donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,108
- 21,788
Salaam wakuu,
Habari zenu? Kwa kifupi nimejichanga visenti kidogo kama Tshs. 300,000/= kwaajili ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Nina uhakika hazitoshi lakini naomba msaada wenu labda nianze na kuku wangapi kutokana na uwezo nilionao na pia mbinu bora ili kuku wangu waweze kuzaliana na kua wengi zaidi.
Nawasilisha wakuu!