SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,935
Mungu kawaumba hivo hiyo hali kila mwanamke atapitia
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂 😂 😂 😂 😂Amka! Amka braza umeanza kukojoa kitandani
😂😂😂😂😂Huruma zote hizo afu ukute hata hiyo mimba siyo yako
Wanawake Allah anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app

Mahamuzi hayo sio yako kaka MGANGA huyo kashafanya kazi
Niamini Mimi kaka
wewe nahisi nakujua but nahisi
Siku hizi ata wanawake wanatafuta kwa jasho.Hiyo ya kuteseka kuzaa inakuuma vipi kwan ye anakuhurumia ukitafuta kwa jasho ? Ndo walivyoumbwa kila mtu atabeba msalaba wake
We tayar ushawekwa kwenye chupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ata wanawake wanatafuta kwa jasho.
Daah.....
Hivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani kabisa aende so nilikaa nae hapa kwangu.
Baada ya mda mke wangu kajifungua na bahati mbaya kajifungua kwa upasuaji. Nimeshuhudia mateso aliyopitia mke wangu, moyo wangu uliuma kwa jinsi tunavyowatreat hawa wamama hata kama ni single mothers.
Jamani wanawake wanateseka, tena unakuta mtu anamcheat mke wake katika hali hii ya ujauzito na kujifungua. mimi nimeapa kutokucheat kwa mke wangu haiwezekani yeye ateseke vile kwa ajili ya mtoto wetu afu mimi et nione nyege ni mateso sana nooooo!!!!!!!!
Wanaume wenzangu mliooa pls love your wives, na kama hujaoa heshimu hawa dada zetu.
asanteni

Huruma zote hizo afu ukute hata hiyo mimba siyo yako
Wanawake Allah anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho tu unasahau mkuu.. Ila tuwaheshimu sana kina Mama.Hivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani kabisa aende so nilikaa nae hapa kwangu.
Baada ya mda mke wangu kajifungua na bahati mbaya kajifungua kwa upasuaji. Nimeshuhudia mateso aliyopitia mke wangu, moyo wangu uliuma kwa jinsi tunavyowatreat hawa wamama hata kama ni single mothers.
Jamani wanawake wanateseka, tena unakuta mtu anamcheat mke wake katika hali hii ya ujauzito na kujifungua. mimi nimeapa kutokucheat kwa mke wangu haiwezekani yeye ateseke vile kwa ajili ya mtoto wetu afu mimi et nione nyege ni mateso sana nooooo!!!!!!!!
Wanaume wenzangu mliooa pls love your wives, na kama hujaoa heshimu hawa dada zetu.
asanteni
Hawa.. Hamkosekanagi.Huruma zote hizo afu ukute hata hiyo mimba siyo yako
Wanawake Allah anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app