Tarehe 9 disemba tunaendelea na ukombozi wa nchi,tutaikomboa nchi kwa mara ya 2 kutoka kwa madikteta ya ccm,wakunya tunawashukuru sana kusimama nasi bega kwa bega hii battle kwanza tuiweke pembeni.
#D9
Kuna kipindi nilisema umu reli yetu tukiendelea hvi mpaka ije ifike mwanza,tuongelee 2035 watu wakanibishia umu, hela zilizotumika kwenye uchaguzi huu haramu ni nyingi sana ni kama bajeti ya wizara 2 nyeti
Huyo chawa muacheni atulie alikua anasema Magufuli was worse kushinda mama sasa kajionea laivu,mama ndani ya siku tatu kaua watu wengi kushinda maraisi wote kwa mbali wanakarbiana na mkoloni
Tofautisha upimaji wa viwanja na makazi yaliyopangiliwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa tuu lakini makazi hayajapangiliwa nchi zilizoendelea huwezi kuhamia nyumba haijakamilika ila bongo ni kawaida nyumba hazina sewage system,nyingine hazina maji ila utakuta mtu anaishi ndani na familia yake...
I hate to admit but it is best way, watu binafsi kujijengea nyumba so far ndio imetuletea unplanned settlements na ndicho kinaendelea Dodoma sasa, watu wanajenga kiholela tuu ,inabidi tutofautishe mitaa au makazi yaliyopangiliwa na viwanja vilivyopimwa,bongo tuna viwanja vilivyopimwa ila makazi...
Inabidi Tanzania ifike mahala tukomeshe ujenzi holela, makampuni binafsi yenye uwezo ndio yaruhusiwe kujenga nyumba na kupangilia makazi ya watu na sehemu za bishara,kosa tulilolufanya dar tunalirudia dodoma, makazi ya watu hamna sewage system na green spaces na mengineyo ILA KABLA YA HAYO...
Unataka ujibiwe mara ngapi kwamba chan sio focus ya watu kwa sasa tukitolewa,tusitolewe freshii tuu as long tunapata uchaguzi ulio huru zaidi ya hapo hamna uchaguzi,ueleweshwe mara ngapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.