Recent content by fundama

  1. fundama

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete ulifikiria mara mbili kabla ya kutamka ulichokitamka siku ya Mtoto wa Kike?

    Mi si shangai walimu wale wa UPE,wote akiri zao huwaga hivi.....wanapenda kuongea na mabinti ijumaaa shuleni
  2. fundama

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. fundama

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

    Kuna law(sheria) na law enforcement (sheria ya nguvu) nataka nione ipi iko juu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fundama

    JamiiForums Tanzania Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

    Aandae mafuta waarabu sio
  5. fundama

    JamiiForums Tanzania Kuchangia miswaki kwa wanandoa au mpenzi wako ni uchafu au mapenzi?

    Tanua ubongo ....hapa naongelea mswaki.....kichwa yako ielewe tofauti kati ya mdomo na sehemu za siri.
  6. fundama

    JamiiForums Tanzania Kuchangia miswaki kwa wanandoa au mpenzi wako ni uchafu au mapenzi?

    Jamani nisaidieni, Naona mimi ni mshamba, inaniwia vigumu kushare mswaki na mpenzi wangu licha ya kuwa denda kwangu sio kazi lakini mswaki mh!.
  7. fundama

    JamiiForums Tanzania Leo Roma kesho wewe........

    Naumia sana ....tuungane na kuvipa nguvu na ushirikiano vyombo vya dola kumtafuta roma
  8. fundama

    JamiiForums Tanzania Leo Roma kesho wewe........

    Habari za asubuhi ndugu zangu na wapenzi wa mziki wa hipop,nisiku ya 3 Leo ndugu zangu Niko katika majonzi ya taarifa za kukamatwa na kutekwa na kupelekwa kusiko julikana kwa msanii ninaye mpenda na kumkubali sana,Roma mkatoliki mwanaharakati halisi.....siku wa April 5 2017 taarifa za kukamatwa...
  9. fundama

    JamiiForums Tanzania Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

    Urais kazi nyie.......mfano wewe ni rais waziri wako umesikia amebaka...unasikia. Una mfukuza uwaziri?
  10. fundama

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

    Mwanamke bwana mchana "kaa vizuri" ni kama tusi. Usiku kaa vizuri ni sahihi.
  11. fundama

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni - April 04, 2017: Mama Salma Kikwete aapa kuwa Mbunge, Kikwete ashangiliwa...

    Ule mfuko kwanza ni jipu ,una hudumia kaya tajiri
  12. fundama

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    True cd
  13. fundama

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake walioolewa ni wepesi sana ukiwatongoza?

    Ni kweli,hili swali nimewahi jiuliza mwenyewe bila kumshirikisha mtu maana ukiliuliza moja kwa moja watu hukutasiri totauti. Hivyo kuepuka ni bora kukaa kimya tu....lakini ki ukweli wanawake walio olewa sio wasumbufu hasa kutoa mzigo.....sababu kuu niliyo wahi kufikiri ni labda niaina flani ya...
Back
Top Bottom