Mwanaume wa kuzaa nae!

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Kwenye makabila ndo umeniangusha dah aise
 
Hivi wakurya walikosea nn kila mtu utasikia hata mkurya kuna nini na mm nawaona tall humble and polite UCPOMUUDHI
 
Uwezo wakushika mimba unao lakini, maana isije kuwa shamba lenyewe lilisha haribiwa na mbolea ya viwandani
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.

Too selfish:
-Baada ya mimba sihitaji tena mawasiliano nae
-Mtoto atakae zaliwa atakua wa kwangu 100%
-Naweza kumlipa ili asinitafute tena
-Kazi ni moja tuu kumpa mimba na kila mtu anashika uelekeo wake.

My dear life isn't made to be this selfish,just look in the mirror and try mould your ways for the better
 
Kuna kabila unalilenga funguka zaidi, mie mzigua.
 
Too selfish:
-Baada ya mimba sihitaji tena mawasiliano nae
-Mtoto atakae zaliwa atakua wa kwangu 100%
-Naweza kumlipa ili asinitafute tena
-Kazi ni moja tuu kumpa mimba na kila mtu anashika uelekeo wake.

My dear life isn't made to be this selfish,just look in the mirror and try mould your ways for the better
Nipo tayari kkupa mimba
 
Umeshampata, omba mods waufunge huu uzi, au una nia ya kuusambaza zaidi?
 
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.

Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.

Naweza kumlipa ili asinifuate tena.

Sifa zake

Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.

Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.

Anayejiona anasifa karibu pm.
Ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom