Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

We we inaelekea huna Kazi yakufanya side tunataka kujadili budget wewe unajadili MTU mmoja ukiitwa lofa unachukia
ninyi wazee wa lumumba mkitaka watu wasiendelee kuwaandika akina bashite na shost wake pigen kimya pindi mkikutana na uzi wa aina hio. mkiendelea kupost mnawapa munkari tuu wakuendelea kutukana
 
Aliwe tu ili twende sawa hata ndugu zetu wamefukuzwa wakati wamebakiza siku chache wastaafu.
 
Tabia na mwenendo wa kiongozi una impact kubwa kisiasa na kiutawala katika taifa.Mwl Nyerere alilisisitiza sana hili jambo.na sijajua kwa nini watu wengine wamempuuza kiutendaji katika suala hili !?
 
Tabia na mwenendo wa kiongozi una impact kubwa kisiasa na kiutawala katika taifa.Mwl Nyerere alilisisitiza sana hili jambo.na sijajua kwa nini watu wengine wamempuuza kiutendaji katika suala hili !?
 
santuri za makonda zimechuja.toka asubuhi uzi una kurasa mbili tu
 
Urais kazi nyie.......mfano wewe ni rais waziri wako umesikia amebaka...unasikia. Una mfukuza uwaziri?
 
Kwann awatumbue??

Mh Rais usimtoe Makonda ukijiloga tu ukamtoa Dar itapoteza dira tena,Makonda ndo kiboko ya Wa-dar hilo jiji linahitaji anayethubutu..
 
Kwann awatumbue??

Mh Rais usimtoe Makonda ukijiloga tu ukamtoa Dar itapoteza dira tena,Makonda ndo kiboko ya Wa-dar hilo jiji linahitaji anayethubutu..
Hivi ule udhubutu wa kupambana na mashoga ujasiri uliishia wapi? Na wale masister poa je?walimu wanaendelea na zile lift kwenye daladala ?
 
Back
Top Bottom