fundama
Member
- Apr 2, 2013
- 23
- 11
Habari za asubuhi ndugu zangu na wapenzi wa mziki wa hipop,nisiku ya 3 Leo ndugu zangu Niko katika majonzi ya taarifa za kukamatwa na kutekwa na kupelekwa kusiko julikana kwa msanii ninaye mpenda na kumkubali sana,Roma mkatoliki mwanaharakati halisi.....siku wa April 5 2017 taarifa za kukamatwa kwa msanii wa hip hop Roma Mkatolikia zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kwa kuripotiwa kuwa Roma Mkatoliki na Moni wakiwa studio za Tongwe Records walikuja kukamatwa na watu wasiojulikana na kuwapeleka kusikojulikana.