Recent content by fullcup

  1. fullcup

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya sirini hivi sasa yanakwenda kumgharimu Profesa Ndumila Kuwili

    Uzi upo uchi kuliko hata ..... La nyani
  2. fullcup

    JamiiForums Tanzania Derick Derick Junior aliyemjeruhi mtu kwa Bastola (Club 1245) aachiwa kwa Dhamana

    Ulichokiandika unakijua mwenyewe
  3. fullcup

    JamiiForums Tanzania KERO Kaimu Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Mugundu ni tatizo, mamlaka ziingilie kati

    Hela ya mahafali ni kiasi gani mpaka usimlipie mwanao? Suala dogo kama hili unafungua Uzi kweliiiiiiiiiii! Ungelipoti Kwa mamlaka husika lingeisha ila Kwa hili Nina mashaka na jinsia Yako.
  4. fullcup

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Aliangalia porno kwanza
  5. fullcup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

    Hapo chukua watoto wa ndugu zake au ndugu zake wasaidie kazi.
  6. fullcup

    JamiiForums Tanzania Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

    Kwa heshima Yako mkuu naomba niseme si sahihi lakini sometimes privacy inahitajika hasa Kama Kuna masuala binafsi ya kuyashughulikia.
  7. fullcup

    JamiiForums Tanzania Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

    Hata kama hujawahi kuwa shabiki wa siasa hakuna kuhama Kama fulsa tafuta ndani ya nchi zipo
  8. fullcup

    JamiiForums Tanzania Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

    Asipoonekana maneno, ameonekana maneno Sasa wanadam mnataka Nini?
  9. fullcup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Huyo jamaa anahaki ya kulindwa Sasa kumuachia Mambo yake atakuja kujinyonga hivyo apigwe Ili bichwa lifanyiwe factory reset
  10. fullcup

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda anafuata nyayo za Mungai ktk kuchezea elimu

    Mpaka Sasa ilitakiwa wawewameshaanza kusambaza vifaa na kujenga miundombinu kwenye shule hizo nchi Zima Ili kuendana na mabadiriko ya mtaala.
  11. fullcup

    JamiiForums Tanzania Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

    Haukuna kuhama na nikikubaini upo mpakani nakurudisha. Kwenye kampeni nyie ndo mlikuwa mnaishabikia CCM Sasa tuisome namba pamoja, hakuna kuhama.
  12. fullcup

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie mnashida gani?

    Nilichokiandika ni kuwa kwasasa kazi zimejawa na utoto mwingi hna hakuna ubunifu Kama zamani. Nimetolea mfano wa hiyo kazi inaitwa KUBWA KULIKO na kazi nyingine za akina mkojani yaani ni utoto tu ndani yake.
  13. fullcup

    JamiiForums Tanzania Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Sio Sio kutoka tu hata kuvuka hii stage ya makundi
Back
Top Bottom