fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 809
- 2,210
Huyo jamaa anahaki ya kulindwa Sasa kumuachia Mambo yake atakuja kujinyonga hivyo apigwe Ili bichwa lifanyiwe factory resetMbona mnakuwa na uchungu na maisha ya watu kiadi hiki?
Mke ni wake
Hasara ni yake...kwanini umpige?