Recent content by fukunyuku

  1. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya Kusoma SMS kwenye cycle bin ya Google

    Wanajamvini. Mwenye kujua jinsi ya ku retrieve sms ambazo umefuta either WhatsApp au za kawaida kwa kupitia Google account (Gmail) naomba anielekeze. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Wakubwa mliotutangulia tufundisheni mbinu mlizopitia katika elimu Hadi mkafika hapo mlipo

    Upo chuo gan? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

    Huyu n dalali wa sofa pale keko, yaan ukija anakukimbilia ila baada ya kupata umaarufu kaacha kazi ya udalali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Tabora mji wa washamba kubayaaa

    Upo isevya, ipuri, chemchem, ng’ambo au cheyo au nation? Au kiyungi maana nataka nikufuate nikupeleke viwanja [emoji13]
  5. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

    Ipo na unaweza soma bila shida, cha muhimu hakikisha umepata senta nzuri ya kusomea na kufanya test mara kwa mara kabla hujaingia kwenye nekta.
  6. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Waliomsimamisha masomo Abdul Nondo kuburuzwa mahakamani

    Ipo chuo gan na inasemaje? Ukumbuke walimfukuza bila hatia
  7. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kueleweshwa kuhusu madaraja ya GPA ya Vyuo Vikuu

    Inaangaliwa overall GPA
  8. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

    Sasa unafananisha familia ya Mona ya sa8? Umekula maharage ya wapi wewe?
  9. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Kila biashara ina changamoto zake cha muhimu ni kutokua negative na kutokata tamaa. Kuliko usiwe na chochote kinachokuingizia hela hata sh 100 bora uwe na boda boda yako na ili uone faida Nunua boxer used Iliyotumika mwaka au mwaka na nusu, ukinunua mkononi kwa mtu ni tsh 1.2M then unatafuta...
  10. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Waliomteka Mo Dewji walikuwa 'Well Organised, well informed , financially stable and highly committed'…

    Ingekua ni Marekani hapa katekwa Billgates cjui ingekuaje [emoji848]
  11. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania MSAADA NAHITAJI KUJIUNGA NA COURSE YA INSURANCE AND SOCIAL PROTECTION I.F.M MWANZA

    Soma insuarance ni course nzuri sana
  12. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Codes wanaweka walioomba chuo zaid ya kimoja, kama uliomba chuo 1 tu una comfirm hakuna code
  13. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania kwa walio chaguliwa wamu ya pili

    Sijakuelewa hebu fafanua vizur
  14. fukunyuku

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kuelekezwa..

    Copy but iwe satisfied as a true copy
Back
Top Bottom