Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,628
- 225,245
Habari
Ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima
Binafsi napenda kusoma na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa walionitangulia ,wenye uzoefu na wengine wote
Katika elimu tunakutana na changamoto nyingi
Elimu ya sekondari changamoto kubwa ilikua fimbo nyingi shule,,Hadi unahisi ubongo unasogea usoni
Chuo kikuu Kuna karaha mbalimbali pia,japo si Mara zote
Kuna baadhi ya walimu Wana Nia nzuri na weledi mkubwa katika kufundisha na kuhakikisha mwanafunzi anafaulu
Hawa wengine Ni Kama mwiba ,yeye anafanya juu chini kukuingiza kwenye nyavu yaani September conference
Mliopita huku Ni mbinu gani mlizitumia ,,???mliwezaje!?
tujuzeni wadogo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app