bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 742
Usikute umetemwa na wadada wa tabora maana hawadanganyiki kirahisi kama uliingia na gia ndogo lazima uwachukie tuu 














Duuuh!
Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.

Mji maarufu lakini ni waovyo sana Tabora , ebu wajirekebisheMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Mkuu nataka nikafanye utalii maeneonya igunga ,kuna ndugu zangu naenda kuwatafuta kuna mzee wetu alikuwa askari amefariki tunasikia kaacha mbegu kuleNimeishi Tabora kwa zaidi ya miaka 20,nimesomea hukohuko(Tbr mjini)
Sifa za Tbr ni kama zifuatazo
Watu wake ni wakarimu hasa kwa chakula
Maendeleo yanakuwa kwa taratibu sana
Ushirikina upo sana na mtu anaweza kukufanyia kisa tu una maendeleo fulani
Vichaa ni wengi sana na hufanya mapenzi hadharani huku watu wakiwaangalia na kufurahia,wengi pia hutoka kigoma wakija kwa treni
Mtu anaweza kuwa na nyumba ya matope tena katikati ya mji ya urithi na ukitaka kuinunua atakuambia baba au babu alitoa wosia hii nyumba isiuzwe
Warembo wazuri wapo wengu ila nao wana tabia za ushirikina
Warembo wanapenda sana kuolewa hata ukimwambia kiutani lazima akawaambie kwao
Ndoa ni nyingi sana lakini hazidumu
Mabinti wengi huzalia nyumbani kabla ya ndoa
Majungu na fitina ndo kwao
Barabara za Lami ni nyingi sana katikati mwa mji zilifadhiliwa na World Bank
Wanaipenda sana CCM na hasa kina mama huwaambii kitu kwa CCM
Wabunge wao ni wa CCM tu na huwa hawakai miaka 10 ni 5 tu unatolewa,Aden Rage na wengine wa nyuma walikaa miaka 5 wakapigwa chini,hata huyu wa sasa hawezi kupewa miaka mitano mingine,kashachokwa mapema labda itumike nguvu toka juu
Nyymba za matope ni nyingi sana maeneo km Gongoni, kiloleni,chemchem,ng'ambo,mwanza road,mabatini,tambukareli...Ajabu ni kuwa nyumba hz za matope wanatoka watoto wakali sana
Usisahau shule kali kama Tabora boys,Tbr girls, kazima, Milambo na Isevya zimetoa watu wengi ambao ni viongozi,wacheza mpira n.k.
Waarabu na wasomali ni wengi pia
Vyakula ni vingi na bei ni rahisi,ukiwa na 3000 unakula milo mitatu.
Huyo mpeleke Tukutuku,Kandiloni au kwa Boga!Upo isevya, ipuri, chemchem, ng’ambo au cheyo au nation? Au kiyungi maana nataka nikufuate nikupeleke viwanja![]()
Uhovyo wake upo wapi? Unaweza ntajia mkoa ambao si wa hovyo Tanzania?Mji maarufu lakini ni waovyo sana Tabora , ebu wajirekebishe
Acha uongo hivi Tabora ya mwaka 1994 ni sawa na Tabora ya leo 2018 tumesoma Tabora miaka unayosema 1990's na tukabahatika kurudi rudi tabora miaka 2018 ukisema Tabora ipo vile vile utakuwa una matatizo tena makubwa unapaswa ufanyiwe maombimjini haijabadilika mkuu, nimetoka huko mwaka 1994 nikiwa nimemaliza milambo secondary nikarudi 2018 hiim nikapita mitaa ya mwanza road, chemchem, isevya, kiloleni, nyumba nilizoacha miaka hiyo zipo vile vile, kwa kweli haijabadilika, ila nje ya mji kiduuuchu imebadilika, ila bado sana, sasa hujatembelea wilaya zake kama urambo, igunga, nzega, na sikonge, unaweza ukasema usirudi, ila napasifu kwa asali tu
UpoDuuuh!
Mkuu wa mkoa wa Tabora alisema wanawake wa waganga ndio wanene sana tabora kwa ajili ya kula kuku wa kafara , ebu jirekebisheni muache tabia hizi za miaka 47Uhovyo wake upo wapi? Unaweza ntajia mkoa ambao si wa hovyo Tanzania?
Uko serious unachokiongea akhy. Maana mimi nilijua ungeleta Economics Education, Development facts.Mkuu wa mkoa wa Tabora alisema wanawake wa waganga ndio wanene sana tabora kwa ajili ya kula kuku wa kafara , ebu jirekebisheni muache tabia hizi za miaka 47
Alkhy wangu huko kwenye uchumi tuwaachie BOT walimaliza kazi mapema walitoa mikoa 9 matajiri , lakini TABORA haipo mimi lengo sio kuisema tabora hapana mimi nashangaa Tabora walipata Fursa nyingi sijui hata walifeli wapi!! kama ni haya mambo ya kula makuku ya laana tuacheUko serious unachokiongea akhy. Maana mimi nilijua ungeleta Economics Education, Development facts.
Kumbe Tz ina mikoa 10 tu.Alkhy wangu huko kwenye uchumi tuwaachie BOT walimaliza kazi mapema walitoa mikoa 9 matajiri , lakini TABORA haipo mimi lengo sio kuisema tabora hapana mimi nashangaa Tabora walipata Fursa nyingi sijui hata walifeli wapi!! kama ni haya mambo ya kula makuku ya laana tuache