Recent content by fufii

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Wezi wa Escrow wapo CHADEMA?

    wapo chadema kule ccm kimenuka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Prof Jay na Vincent Nyerere kutikisa Musoma Mjini Jumapili 05 Julai, 2015

    Hiyo inaitwa amsha amsha
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Lissu na Werema nani Mwanasheria Mkuu?

  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Hili ni janga la wengi, na mimi pia ni pm.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fastest internet Smile communication

    Ni kweli wako faster ila hawana Outgoing mail sever Kama mitandao mingine wizi mtupu, 3gb wiki mbili tu, kwa email na moderate web browsing.
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekwama wadau kumbikumbi kwa kingereza?

    Wanaitwa ALETHE. It flying generation of termites.
  7. F

    JamiiForums Tanzania NCCR MAGEUZI wako makini kuliko CHADEMA

    Chama kikuu cha upinzani 2015 ni CCM hata Mwemyekiti wenu alikiri msipojirekebisha
  8. F

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Arusha mjini LIPO WAZI 2015.

    Wanasiasa wote sawa tu. Kwani JK kamaliza zile ahadi zake lukuki? Tukubali tukatae sisi wote ni wadanganyikia, ila kati ya hao wadanganyika wapo wanaoneemeka na hali hii na wapo wanaoteseka kwa ujumla wanaoumia ni sisi wananchi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha hii ni AIBU!

    Sooo what take it or leave it.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atikisa Pwani,Apokea vijana UVCCM 250,Asimika makamanda wa Vijana

    Ajitahidi tu, kwani watoto wa Ghadaffi na Hosni wako wapi sasa hivi???
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    Kwa kuwa HAHONGEKI, Zitto anataka kwa kuwa atakuwa anafanya kazi kwa maelekezo ya CCM.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi CHADEMA itakavyojimaliza yenyewe kuelekea 2015

    Aha aha. Yeye ni time Membe, sita, lowassa, Nyalandu, du nilisahau timu Wassira mzee wa Gombe.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    Wewe utakuwa ni mmoja wapo wanaofaidi kupitia madawa ya kulevya na ujangili. Adui ni ccm tangu uhuru fanya utafiti uone ni vijiji vingapi vimepata maji safi na salama, kituo cha afya, siyo jengo tu, maana vingi vimejengwa lakini havina dawa wala wahudumu wakiwamo madaktari na wauguzi. Na kila...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    Wewe utakuwa ni mmoja wapo wanaofaidi kupitia madawa ya kulevya na ujangili. Adui ni ccm tangu uhuru fanya utafiti uone ni vijiji vingapi vimepata maji safi na salama, kituo cha afya, siyo jengo tu, maana vingi vimejengwa lakini havina dawa wala wahudumu wakiwamo madaktari na wauguzi.
Back
Top Bottom