Sio busara kurumbana kwa dhana ya udini ndio maana unaniona sichangii hoja za kidini.
Kama kila mtu akiamua kuonyesha hisia zake kwa kutumia udini nadhani hii dunia itafutika mara moja kwani kuna wenye uwezo wa kulipua mabomu ya kuweza kufuta kabisa nchi yoyote hapa duniani. Na wana uwezo wa kuingia na kufanyiza ndani ya nchi yeyote bila hata mwenye nchi kutaarifiwa na hata akijagundua asifanye lolote abakie analalamika tu kwenye TV kwa sababu anajua ni sawa na simba kuvamia zizi la mbuzi hahitaji kupiga hodi, anaingia tu anytime akitaka hata uweke miba.
Udini ni mbaya na hatari kuliko kipindu pindu na ebola put together!..