Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani bado hata kipindi cha maombolezo hakijapita. walio kiunda muda huu wangekuwa wanesha ki dump. kazi...
Hi! Mimi ni mfuatiliaji wa nyimbo hizi wanazoita HIP HOP! Lyrics zao huwa nazipenda na most huwa zinaelezea life ya bongo ilivyo tight na mafyongo ya wakubwa! But during campain wana edit hizo songs na kufagilia chama or kiongoz ovyo! izt a HIP HOP?
Duh pole! Ila umeshapata reason ya kulala mjengon! A house z not a home no more! pigania posho mpaka mwisho ukadondoshe mjengo mwingine! Othrwise nyumba za kupanga hutopiga disco le2 la iyena iyena...
I mean usi stick kwamba mshua ni dhehebu hili then nikihama itakuwa soo! Kila mtu atakuwa na a/c yake kwa muumba. Mwanadam umepewa utashi wa kutenda jema au baya tofaut na viumbe wengine!
Jaman tusome hizi dini. Siku ya hukumu hakutakuwa na maneno ya mipasho km hapa. Siku hiyo ni nzito baba hatomjua mwanawe kila mtu atakuwa after nasfi yake kwanza. Jaribu kureason why we have all these religions, lengo la dini km linakuingia kichwan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.