Recent content by Fromgascity

  1. Fromgascity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; muda wa kupata mke umefika

    Naitwa Ahmady niko Dsm, mwaka jana nikiwa field nilitokea kumpenda msichana ambae nae alionesha dhahiri kwamba ana mapenzi ya dhati kwangu kwani vitu vingi alinifanyia kwa muda mchache ambao nilikuwa nae. Ila mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambae tupo yapata miaka miwili tena mtoto nimezaa nae...
  2. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Sijakuelewa kijana lengo lako kukosoa au nn
  3. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Mi sidhan km kungekuwa na tatizo lolote ungempongeza kiba kwa hatua alofikia,,,ila tatizo la wabongo ni kwamba wanatumia muda mwingi kufananisha na MTU aliyeshindwa ktk jambo thats why mnafanya watu wakate tamaa mapema kwa kumuangalia MTU aliyeshindwa on behalf of looking for ways that someone...
  4. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kama hutoenda JKT?

    Madhara yapo lakin kwa ss hatuwez kuyafahamu cause kwa akili ya kawaida haiwezekani serikali igharamie kias kingi cha fedha pasipo azimio maalum
  5. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Actor/Actress To Volunteer / Muigizaji wa Kike/Kiume wa kujitolea

    Eti ajue kukimbia ,kwan mnataka kuanzisha filamu za riadha !kamchukuen Bolt
  6. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    bei zenu ni za juu sn
  7. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    we matatzo yote hayo bado unang'ang'ana 150,acha joking ww
  8. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Now don't just laugh

    imagine
  9. Fromgascity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa Kala Jeremiah na Roma

    kupka kwa mkaa ni jad ya m'tz,ges ilikuja km baraka mungu ametushushia.
  10. Fromgascity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

    cna hata mia ya urithi vyote hv ni vya kwangu,nishaenda shule bila viatu nishatoa funza zaidi ya buku,ipo cku utaniheshimu au utaheshimu fedha zangu.
  11. Fromgascity

    JamiiForums Tanzania Q&A Professor Anna Tibaijuka - Minister of Lands, Housing and Human Settlements

    that`s politician used to say
Back
Top Bottom