Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

Mwana FA ft. G Nako - Mfalme [lyrics]

Naona Jide kajibiwa kisomi zaidi sana hizo zote falsafa ndio maana anaitwa mwanafalsafa.
Wale mashabiki wa Jide walosema MwanaFa hana hela majibu yenu ni wengi wetu hamna hata laki na mnamwita mwenzenu masikini. Pia Mwanafa anasema sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri kisa show ndio kanuna hii yote roho mbaya jide big up Fa Mfalme watajifunza tu.
Acha uchonganishi. Yani unajaribu kusema alitumia muda wote kuandika huu wimbo ili amjibu Jide?
Una nufaika na haya mabifu?
 
Hata wakimnyima tuzo but honestly Marco ni Mkali na hata nyimbo za wakongwe ukiona producer mwingine but lazima mixing ukute kafanya Marco...
I appreciate this dude.
Huyu ni one of my best producers of every year:
Sasa hivi ana nyimbo
Asante ya Ay
God zilla ft Marco chali
Mfalme FA ft G.nako
 
Huyu ni one of my best producers of every year:
Sasa hivi ana nyimbo
Asante ya Ay
God zilla ft Marco chali
Mfalme FA ft G.nako

Same to me nilianza kumkubali tangu yupo kamakawa records na ile Single ya FA ya B.i.n.a.m.u, since 2006 jamaa hajawahi kuniangusha kutoa beat mbovu.
 
Mwana FA nilimkubali sana tangu ingekuwa vp hadi Msiache kuongea baada ya kuanza mambo ya kishenzi nikamtupa kwenye dustin bin ila kwa ngoma hii nimekubali tena,ushauri mwingine huyo Fa akipiga nyimbo na Ay haziwi bomba sema zinapata tu promo ila ni mbaya bora aendelee kufanya yeye kama yeye check binamu,mabinti,mfalme,msiache kuongea ila hizi sijui kukunja goti yani full cr.aps

Vipi kuhusu Nangoja ageuke, Asubuhi, Habari ndio hiyo?! Kwangu AY wa sasa ni msanii wa kawaida sana, ukilinganisha kipindi kile ndio anatoka. Sema video zake ndio zinambeba.
 
Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...
Ye mwenyewe na mabinti dam dam atashindwaje kuwataja wenzake?[/QUOTE]

Haaaaaa ni kama Mh Temba na Kachumbari
♥"tungi vicheche mineli hakuonekana kujali lkn alikufa kwa ngoma"♥
 
Vipi kuhusu Nangoja ageuke, Asubuhi, Habari ndio hiyo?! Kwangu AY wa sasa ni msanii wa kawaida sana, ukilinganisha kipindi kile ndio anatoka. Sema video zake ndio zinambeba.

Yaani bro u have spoken my mind, sijui nadhani siku hizi ameacha kufanya ile staili yake ya 'commecial' kiukweli ndo ilikua inampendeza!!
 
viko vingi vya kuomba kabla ya kuomba utajiri....hata mfalme Suleiman aliomba hekima badala ya utajiri.
 
cna hata mia ya urithi vyote hv ni vya kwangu,nishaenda shule bila viatu nishatoa funza zaidi ya buku,ipo cku utaniheshimu au utaheshimu fedha zangu.
 
You real deserve yo name kweli umeimba kifalsafa zaidi waache wasiotumia akili kuropoka maisha ya watu wasiyoyajua.


Ila hivi FA hawezi kuimba wimbo bila kuweka neno kicheche kwenye punchline zake...

hahahahahahahahaha! kweli jamaa anapenda vicheche sana sijui vimemfanya nini

wp-image-981369770jpg.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom