Recent content by Fresh Air

  1. F

    JamiiForums Tanzania Puma Energy (Tanzania) – Haya Ndiyo Tutegemee?

    Puma Energy (Tz) hivi karibuni ilinunua hisa toka kwa BP (Tz) na hivyo kuchukua vituo vya kuuza mafuta toka kwa ilizokuwa BP (Tz). Jana, jumapili tarehe 18 Novemba mida ya kama saa 2 na nusu hivi asubuhi, nilipata shida ya gari yangu kukata mafuta ghafula nikiwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Ponda: Askari wavaa mavazi ya hatari kama wanaenda kutegua mabomu

    Simple question Mr. Undertaker: we unataka uone nini ama usikie nini toka kwa Ponda ndiyo ufikie conclusion kama huyo Ponda ni hatari ama siyo hatari?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Preta, Preta, Preta, siamini kwamba unaruhusu hata wazo tu kwamba Wakristo wanaweza kufanya hivyo? Ni hivi Preta, Wakristo wana mambo mengine muhimu zaidi ya kufanya zaidi ya kufanya hivyo unavyodiriki kuwaza kwamba wamefanya, na Mungu wao hujitetea Mwenyewe. Ndio huwasikii wana revenge. Wako...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Mkuu, sijui kama utaelewa. Ni hivi, kama umemsikiliza Kamanda Kova, dogo aliyekojolea Qoran alikuwa challenged na rafikie kukojolea Qoran na aka take up the challenge. Sasa je unataka kutuaminisha kwamba Wakristo ndio walioandaa mazingira ambapo yule kijana wa Kiislamu atakutana na, na kisha...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Mkuu, sijui kama utaelewa. Ni hivi, kama umemsikiliza Kamanda Kova, dogo aliyekojolea Qoran alikuwa challenged na rafikie kukojolea Qoran na aka take up the challenge. Sasa je unataka kutuaminisha kwamba Wakristo ndio walioandaa mazingira ambapo yule kijana wa Kiislamu atakutana na, na kisha kum...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Kwani CDM hawana mchakato ambao uko defined na unaeleweka wa kuwapata wagombea urais? Mi naona mada hii lengo lake ni kuleta vurugu ndani ya CDM. CDM kaeni macho . . .
  7. F

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Membe& Mwakyembe wamuondoa H. Masoud

    Duuh! Yaani Mtoa hoja umeniacha hoi! Na ule upepo na hali ya hewa mbaya ni Membe na Mwakyembe? Wazenji jaribuni kujifunza from mistakes badala ya kutafuta watu wa kuwalaumu. Mistakes ni pamoja na kununua boti ambazo muda wake wa kutumika umeisha, boti ambazo ziliundwa kusafiri kwenye mito...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Chezea vitu vingine vyote na watu wengine wote lakini MUNGU usije kumchezea. Mchezo ambao politicians wanaucheza hivi sasa ni sawa na kumwingiza hata na Mungu kwenye uovu ambao walioufanya wanajijua na Mungu anawajua.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    1. Serikali kutokuwa na VIPAUMBELE sahihi (mfano: kununua mashangingi kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa, n.k. badala ya kujenga hospitali, shule, barabara nzuri). 2. Miji yetu kujengwa pasipo kufuata master plan yeyote (hivi moto ukitokea Kariakoo, Fire...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa waziri mkuu baada ya Pinda?

    Wakuu, samaki akioza kichwa, hafai sehemu yake yoyote utakayoigusa.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

    Chao ni chao na cha kwetu ni chao.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Blandina alipokuwa Hazina kama Accountant General aliwahi kamata wezi (wahasibu wa wizara ya afya) waliokuwa wanaiba kwa kutumia cheques zilizokwisha tumika, wakawa wanaziandika na amounts mpya na majina mapya. Huyu mama aliwanasa wote wakaenda lupango. Kwa upande wangu nina-mu-admire. Ila...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe ataka Naibu Waziri aondoke na Wahandisi

    Wa-tz tunapenda kuongoza kwa kutumia MBWA - Management By Walking Around - hivi tutafika kweli?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mwandosya: Kulikoni? Arudi tena India, Dr Mwakyembe achungulia ofisi

    Michelle, mawazo yako ni mazuri. Hata hivyo, mazingira ya kuugua kwa hawa jamaa - yaani yale yaliyotokea na yaliyosemwa kabla hawajaugua - yananifanya niwaze mengi. Mojawapo ni hili: mtu ukijitoa ili kupiganie wengine, yatakapokupata yakukupata basi ujue utakuwa peke yako. Hasa kama wale...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Angalia hii picha halafu tupe mgawanyo wako wa mawazo

    Mtu wa HR wa UDOM anahitaji kuwa replaced!! Short-listing sidhani kama kisha isikia. Kwani kuwaita vijana hao wote kwenye interview siku moja? Chuo Kikuu si ndo watu wanajifunza hata basics za ku-plan, ama?
Back
Top Bottom