Nani anafaa kuwa waziri mkuu baada ya Pinda?

Nani anafaa kuwa waziri mkuu baada ya Pinda?

Apewe Stephen Wasira anaweza kutoa maamuzi bila kuogopa na ana Utaifa wa nchi hii?
 
Watu wengine wanaleta utan hapa,hawapo serious kabisa.
 
Habari zilizopo ni kwamba jk yupo kwenye wakati mgumu sana akifikiria ni nani hashwa anaweza kuwa mbadala wa Pinda.Maoni na mawazo yetu ni muhimu.

i cant see pinda stepping down before 2015.
 
Aggrey Mwadri, naibu Waziri wa TAMISEMI, trust me huyu ni zaidi ya Kiongozi, JK lazima amfikirie, atawawajibisha wazembe wote, he is hard working intelligently.....

Pinda Uwaziri mkuu au kuwa Waziri hawezi, ni majukumu makubwa sana, hawezi kuperform bcoz his capacity is low.....
 
Apewe mzee wa kiraracha kwani naona afya yake babu wa loliondo kairudisha. Nasikia hatumii tena rv.

Rv ni nini mkuu?

However, huyu mzee wa kiraracha anafaa sana kwa nafasi hiyo kwa sasa, japo afya mgogoro, atashindwa kufuatilia mambo kwa ukaribu unaotakiwa.
 
Hakuna anayefaa... Labda amwombe Mama Maria Nyerere tu ndiye ninayemwona anafaa CCM.. lasivyo wampe Slaa atengeneze njia nzuri zaidi...
slaa anafaa awe pale pale na ukatibu wake wa chadema kuwapa uelewa wananchi,lakin kumpa rungu nahofu kidogo,labda rungu la uongoz tumpe zitto
ile kashfa ya slaa kuchakachua mamillion ya pesa kipind kile cha ujio wa papa john paulo miaka kadhaa iliyopita hapa nchin tumesahau?
Had kanisa likatumia busara kumuengua?
Slaa anafaa kua muhamasishaji kama vile anavofanya vilee..!
 
Kwa maslahi ya CCM napendekeza Magufuli. Kwa maslahi ya nchi napendekeza, Dr Slaa anaweza sana hii kazi. Ikishindikana kumweka dr basi Zitto anaiweza hii kazi. Hata hivyo Zitto hana uzoefu wa kutosha kwa ofisi kama hii, ila kwa uwezo wa Mungu anaweza kama akimtegemea.

Hapo kwa mh. Zitto hata mimi naunga mia kwa mia. Kijana ni mchapakazii sana
 
Kama hakuna kodisha toka ngambo kama walivyo makandarasi wa barabara zetu
 
Hakuna anayefaa... Labda amwombe Mama Maria Nyerere tu ndiye ninayemwona anafaa CCM.. lasivyo wampe Slaa atengeneze njia nzuri zaidi...

Watanzania tuko zaidi ya milioni 40. Mimi nafikiri yeyote anafaa tu. Ili mradi awe na miaka 18 na asiwe kichaa. anaweza kuongoza kuliko Mh Pinda.
 
Back
Top Bottom