Siri yafichuka: Membe& Mwakyembe wamuondoa H. Masoud

Siri yafichuka: Membe& Mwakyembe wamuondoa H. Masoud

Duuh! Yaani Mtoa hoja umeniacha hoi! Na ule upepo na hali ya hewa mbaya ni Membe na Mwakyembe? Wazenji jaribuni kujifunza from mistakes badala ya kutafuta watu wa kuwalaumu. Mistakes ni pamoja na kununua boti ambazo muda wake wa kutumika umeisha, boti ambazo ziliundwa kusafiri kwenye mito kuzitumia baharini na kutokujiridhisha kwamba boti za kusafirisha binadamu zina meet standards.
 
huyu jamaaa ameoanisha mambo yasiyokuwepo kabisa,,,,meli mbovu imenunuliwa na wazanzibar wenyewe,,meli imezama yanaingizwa mambo yasiyohusika na kushutumu watu wengine,,,kweli inafaa ajipange na aongee hoja za msingi siyo malalamiko na shutuma dhidi ya watu wengine bila hata chembe ya ushahidi,,,,,,H Masoud kajiuzulu mwenywe kutokana na "collective responsibility" kama kiongozi kwa makosa yaliyofanywa na watu wengine hiyo ndiyo leadership siyo unaleleta taarab hapa.
 
Usianze kwa kutafuta mchawi wakati hata tatizo linalokusibu hujalielewa!
 
Changamoto (siyo kero!) za muungano zinachanganywa na hoja za wa-Zanzibari, wanaoishi nje ya Muungano (kwa sababu mbalimbali !) ambao wanawatumia wenzao huku nyumbani kama vipaza-sauti vyao! Muungano ukivunjika, na kwa sababu hiyo Zanzibar ikatumbukia katika matatizo MAKUBWA zaidi, watakaoathirika zaidi ni hawa waliokuwa wanatumiwa kama vipaza-sauti! Wakati wenzao wataendelea kuishi huko waliko, hawa huku nyumbani hawatakuwa na kwa kwenda!!!!!!
 
Hahaha! Labda nicheke nipoze machungu kwanza.
1. Hapa kosa la Membe ni kuingilia swala la meli za Iran. Hawa jamaa sijui walitaka akae kimya? After all, si wana bendera yao? Sasa kwanini walitumia ya Muungano wakati hawautaki?
2. Ticket zote (passenger & cargo) zilikatwa na wazanzibari, sasa sijui Mwakyembe kaingiaje ktk hili.
3. Mwakyembe kaingia uchukuzi mwezi May. Hiyo mipango ya kuua airport na bandari alikuwa anaifanya akiwa India kwenye matibabu? Also the MV Spice boat had sank before he came to power as a full minister.
LASTLY: Looks like we have very potential ministers who can even control wind speed and direction. Why not use them to generate wind energy? Hahahahaaa, wazanzibari bana!
4.
 
Mambo mengine wanzanzibar cjui anawadanganya nani,hebu jifunze kufikiri kdogo kabla ya jambo lenyewe,yaleyale yanatimia mkiwa pekeyenu nje ya muungano kuna pemba na unguja mtapigana wenyewe shauriyenu.MUNGU AWAPONYE WANZANZIBAR WAWE NA MOYO WA KUFIKIRI,AMEEN.
 
Kwani waliogopa angekuja kuwa RAIS wa Tanzania Bara? Acheni majungu. Sidhani kama kuna shinikizo. Huyo alitoka CUF ana ana uchungu na wananchi wake!!!
 
Mzanzibari mwenzangu ananifedhehesha!please guyz treat this as individual school of thoughts though he tried to splash it as common thinking of all zanzibaris.way too weird and we are not that stupid ,yes we know union sucks reaal big but those are lame complains it doesn't add any colour to the sketch we have,i wish i could meet him in person and teach him a thing or two in away of positive and constructive thinking.
Tanzanian-Tanganyikas are not our enemy,the the enemy is the system we have, the current regime on both side of the union,unapewa wimbo wa muungano ucheze ili usisikilize nyimbo ulizoomba zamani tokea enzi ya CUF ya Mloo Duni,Hamadix2 and saidi miraji dhidi ya CCM.Umeshawasahau wakina nikiingia madarakani neema ndani ya siku mia moja?no more mchele mapembe?huduma za afya kuimarika?fikiri !
 
ndo tatizo la mama KOKA fast food...Futari 500 uji bure....sasa watu wameshiba mafutari na uji wa pilipili manga wanakuja na mahekaya ya abunuwasi hapa yaani hawaeleweki....
 
duh! Mleta mada umo ndani ya shimo la ignorance, tena refu sana. Hata kukutoa hatuwezi. God bless you.
 
Back
Top Bottom