Angalia hii picha halafu tupe mgawanyo wako wa mawazo

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Interview.jpg Hapa si Uwanja wa Taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na Taifa stars
Bali ni:-

[h=6]Interview UDOM, walioitwa kwa Interview kwa ajiri ya nafasi za HR walikuwa 2226 kwa nafasi 12 tu.
Hapo weka Pembeni jumla ya waombaji, na vyuo kila mwaka vinazalisha wahitimu (sijasema wataalam).
Ni kama mzaha fulani lakini hebu tufikirishe vichwa kuhusu huko tuendak hali ikoje, ajira hakuna na wahitimu wamegotesha vichwa na fikara za katika kuajiriwa
.[/h]Kama wote tujuavyo hapa nchini ngumu sana kufikiria kama au kuanzisha jambo, kwani tangu ungali shule, jamii imeshaanza kukudai na kukutegemea, na baya zaidi ni rahisi kwa mgeni kufanikiwa from (zero) 0 out of 10, lakini ni ngumu kwa wengi wetu kufanikiwa hata kama tuna 5 out of 10.
Kwa picha tuionayo hapo juu mna mgawanyo upi wa mawazo?
 
Wengi wao hawa waliichagua CCM wakati wanasoma na wakatoa matusi mazito kwa upinzani.Sasa leo wanataka ajira? Si hela za ajira walishapewa zamani kama kofia, khanga, pilau, bia nk nk.Malipo ni hapa hapa duniani. Kama hujachagua CCM, pole sana ndugu yangu ila ndiyo hivyo tena, wengi wape.Njooni Sikonge muungane na mie katika kilimo cha asali na Samaki......................
 
We should rather change our mindsets and start thinking about employing others. Regardless of which party takes government, being able to recruit all University leavers at a time is a mere chimera. Joblessness is not endemic to Tanzania but seems to be a global crisis. In America itself, which is more developed, the unemployment rate keeps on unabately surging each year and their government is desperately seeking for possible solutions but vainly.
 
Wengi wao hawa waliichagua CCM wakati wanasoma na wakatoa matusi mazito kwa upinzani.Sasa leo wanataka ajira? Si hela za ajira walishapewa zamani kama kofia, khanga, pilau, bia nk nk.Malipo ni hapa hapa duniani. Kama hujachagua CCM, pole sana ndugu yangu ila ndiyo hivyo tena, wengi wape.Njooni Sikonge muungane na mie katika kilimo cha asali na Samaki......................

Kuchagua ccm siyo kosa ni haki ya kikatiba

Usitake kuchanganya madawa hapa..ajiri haziletwi na chama
 
I am shocked and disappointed. I wish I was born in Somalia hopefully I will be dead by now! and no one to think of. Nawahurumia watoto wangu sana Tanzania itakuwa chafu miaka 20 tu ijayo. Nchi itasambalatika hata miaka 100 haijafikisha.
 
Mtu wa HR wa UDOM anahitaji kuwa replaced!!
Short-listing sidhani kama kisha isikia.
Kwani kuwaita vijana hao wote kwenye interview siku moja?
Chuo Kikuu si ndo watu wanajifunza hata basics za ku-plan, ama?
 
View attachment 39325Hapa si Uwanja wa Taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na Taifa stars
Bali ni:-

Interview UDOM, walioitwa kwa Interview kwa ajiri ya nafasi za HR walikuwa 2226 kwa nafasi 12 tu.
Hapo weka Pembeni jumla ya waombaji, na vyuo kila mwaka vinazalisha wahitimu (sijasema wataalam).
Ni kama mzaha fulani lakini hebu tufikirishe vichwa kuhusu huko tuendak hali ikoje, ajira hakuna na wahitimu wamegotesha vichwa na fikara za katika kuajiriwa
.

Kama wote tujuavyo hapa nchini ngumu sana kufikiria kama au kuanzisha jambo, kwani tangu ungali shule, jamii imeshaanza kukudai na kukutegemea, na baya zaidi ni rahisi kwa mgeni kufanikiwa from (zero) 0 out of 10, lakini ni ngumu kwa wengi wetu kufanikiwa hata kama tuna 5 out of 10.
Kwa picha tuionayo hapo juu mna mgawanyo upi wa mawazo?

mkuu napenda sana comment zako,,tumia neno kwa ajili badala ya kwa ajiri!!
 
Hakuna aliyesema ni kosa ki katiba ila ukweli utabaki wazi kuwa ni kosa ki-maisha.

Unaona sasa wewe unavyochanganya madawa........ chama chaleta ajira.

Kama ulikuwa hujui hilo basi naona soma sahihi yangu chini na utafunguliwa.
Kuchagua ccm siyo kosa ni haki ya kikatiba

Usitake kuchanganya madawa hapa..ajiri haziletwi na chama
 
wakuu UDOM kulikuwa na siku 3 za interview na idadi ilikuwa kama hivyo, tunakoelekea siko
 
Hakuna aliyesema ni kosa ki katiba ila ukweli utabaki wazi kuwa ni kosa ki-maisha.

Unaona sasa wewe unavyochanganya madawa........ chama chaleta ajira.

Kama ulikuwa hujui hilo basi naona soma sahihi yangu chini na utafunguliwa.

Chuki zako kwa ccm utafikiri siyo binadamu wenzako ni dalili tu kwamba siyo mstaarabu

siyo lazima kila mtu aajiriwe,
 
Poor schedule they were not supposed to call all those interviewees at the same time. That's why we'll take long for the entire country to take off because if educators are doing awkward things like this what do we expect?
 
View attachment 39325Hapa si Uwanja wa Taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na Taifa stars
Bali ni:-

Interview UDOM, walioitwa kwa Interview kwa ajiri ya nafasi za HR walikuwa 2226 kwa nafasi 12 tu.
Hapo weka Pembeni jumla ya waombaji, na vyuo kila mwaka vinazalisha wahitimu (sijasema wataalam).
Ni kama mzaha fulani lakini hebu tufikirishe vichwa kuhusu huko tuendak hali ikoje, ajira hakuna na wahitimu wamegotesha vichwa na fikara za katika kuajiriwa
.

Kama wote tujuavyo hapa nchini ngumu sana kufikiria kama au kuanzisha jambo, kwani tangu ungali shule, jamii imeshaanza kukudai na kukutegemea, na baya zaidi ni rahisi kwa mgeni kufanikiwa from (zero) 0 out of 10, lakini ni ngumu kwa wengi wetu kufanikiwa hata kama tuna 5 out of 10.
Kwa picha tuionayo hapo juu mna mgawanyo upi wa mawazo?
Poor management why don't u short list the applicants to remain with a few say ten people for every post!!!!!!How are u going to pay per diem for these people!!!!!!!!Poor planing misuse of resources!!!!!!!
 
Back
Top Bottom