Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

kwa sababu ya hila na ujanja wetu sisi watu wa bara,safari hii tusifanye tena hila,tuwaache na wao wakikalie iko kiti then na sisi tutakaa baadae,hatuwezi kutawala pekeetu lazima tushirikiane tena ikiwezekana safari hii hata cha uwaziri mkuu wakikalie pia,yani wakalie vyote urais na uwaziri mkuu kama ccm itashinda sisi tukalie cha umakamu wa rais maana na sisi hatujakionja hicho toka mfumo wa vyama vingi uanze!

naungana na wewe kama tu atakayesimama ni mkristu.
 
naungana na wewe kama tu atakayesimama ni mkristu.

kwa hiyo kumbe issue sio utanganyika bali uislam?watanganyika urais unatuhangaisha sana aisee!kuna mtu nilimjibu huko nyuma,mimi bahati nzuri nimewahi kufanya kazi huko visiwani,hivi kwanini mnadhani zanzibar hakuna wakristo?wapo sana ndugu zangu kama tatizo ni ndugu zetu waislam ondoeni shaka wakristo wasomi wapo na wale ambao bado hawajaamua waende upande gani pia wapo kina SALIM A. SALIM!nadhani wewe sasa anagalau utaungana na mimi kutetea haki za ndugu zetu wa upande wa pili wa muungano wetu ndani ya muungano,tuwe fair,tuache kung'aninia kuhodhi iko kiti pekeetu kwa kutafuta tuvisingizio twa hapa na pale ili kuhalalisha dhuluma hii ya wazi.
 
Haina mkono wa mtu bali ndio hali halisi wabara tuache kujipenda kupita kiasi,huu ni muungano wa nchi mbili wenzetu wametuvumilia mara mbili,kwa mkapa na kwa huyu kikwete tuwe waungwana this time na wao wakikalie iko kiti then kitarudi bara tena tatizo liko wapi...
Hatuwezi tawaliwa na ka tarafa ka Zanzibar, kama hawataki kutawaliwa na Tanganyika ; wasepe kwenye muungano wafe na njaa
 
Back
Top Bottom