Jamani wanajamii nawashukuru sana nimepata mrembo mmoja maridadi kabisa humuhumu jana jioni kwa kweli ananipa raha sana....! na ndio tunajiandaa kwenda msikitini tukitoka kasema twende ujiji. Yaani mi nakubali tu kilakitu daah!
Ila kuwa makini unanunua wapi? Mimi niliwahi kuagiza jersey no.10 ya argentina kwa paypal kama wewe. Ile jersey haikuwahi kufika na $ 35 sikuweza Kurecover walinizungusha mpaka nikasamehe.
Kimahesabu iko hivi... mkeo laziwa aliwe, ishu ni nani atamla? Akiliwa na maafande ataishia jela, akiliwa na best ako atamsaidia kurudi nyumbani. Based on these facts make a decision (am sure which one you will take). Then come back later for another decision when she's back! Moral of the story...
Mweleze jamaa yako kilichotokea kwanzia bia ya kwanza.... Mpaka vikonyezo na vitekenyo anavyokufanyia sasa na hakika itamsaidia kama sio sasa hata baadae, ila na wewe ***** sana si ungekula mzigo kabisa. Wanasema "If u want to make a mistake make the big one"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.