- Thread starter
- #21
Umepost hoja yako majira ya saa 9. Na kama ni arabuni kwa tofauti ya saa 1 ina maana haijawa usiku bado.
Ndio kusema kama hiyo sms ni kweli aliituma usiku ina maanisha sio leo, na kama sio leo basi kuna jambo lishamtokea mkeo!
Kwamba rafikiyo kesha kula au askari wa umangani wamemla, na wale wanakulaga vibaya sana hata kusiko!
Case closed ushauri wowote hauna maana kwa sasa!
Basi hata kunitia moyo haiwezekani?