Ushauri kuhusu kilimo

Khokhma

Senior Member
Apr 5, 2012
126
20
Kwanza napenda kuwapa pole watz wenzangu kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha lakini napenda sana niweze kujiajiri na kusaidia wengine kupata ajira. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiingiza katika kilimo, ombi langu kubwa kwenu wadau naomba mnisaidie yafuatayo

1. Ni maeneo gani ambayo yanafaa kuwekeza kilimo cha mazao ya chakula
2. Gharama za kuandaa shamba hadi kuvuna mazao na nataka nianze na heka 50
3. Ni changamoto gani ambazo zinakabili sekta ya kilimo
5. Mambo gani haswa ya kuzingatia kabla ya kuwekeza kwenye kilimo

Tafadhali wadau wanaoelewa maswala ya kilimo naombeni mnisaidie.

Nashukuru na Mungu awabariki wote.
 
Kwanza napenda kuwapa pole watz wenzangu kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha lakini napenda sana niweze kujiajiri na kusaidia wengine kupata ajira. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiingiza katika kilimo, ombi langu kubwa kwenu wadau naomba mnisaidie yafuatayo
1.ni maeneo gani ambayo yanafaa kuwekeza kilimo cha mazao ya chakula
2. Gharama za kuandaa shamba hadi kuvuna mazao na nataka nianze na heka 50
3. Ni changamoto gani ambazo zinakabili sekta ya kilimo
5. Mambo gani haswa ya kuzingatia kabla ya kuwekeza kwenye kilimo
Tafadhali wadau wanaoelewa maswala ya kilimo naombeni mnisaidie..nashukuru na Mungu awabariki wote.

HUIJUI JOGRAFIA YA NCHI YAKO? AU MTOTO WA GAMBA!

MIKOA INAYOLIMA MAZAO YA CHAKULA NI
IRINGA,
MOROGORO,
RUKWA,
MWANZA,
KIGOMA,
MBEYA.
UKIFIKA OFISI ZA TAKWIMU MKOANI UTAPATA INFORMATION ZOTE.
 
hUIJUI JOGRAFIA YA NCHI YAKO? AU MTOTO WA GAMBA!

MIKOA INAYOLIMA MAZAO YA CHAKULA NI
IRINGA,
MOROGORO,
RUKWA,
MWANZA,
KIGOMA,
MBEYA.
UKIFIKA OFISI ZA TAKWIMU MKOANI UTAPATA INFORMATION ZOTE.

thnx mkubwa bt me sio gamba
 
Pia wizara ya kilimo au ofisi ya kilimo ya mkoa husika wanaweza kukusaidia sana kwenye hili. Kila la kheri
 
Mm nakushauri uje kgm kwani hali c mbaya kwa mazao ya chakula yote yanakubali
 
Kwanza napenda kuwapa pole watz wenzangu kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha lakini napenda sana niweze kujiajiri na kusaidia wengine kupata ajira. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiingiza katika kilimo, ombi langu kubwa kwenu wadau naomba mnisaidie yafuatayo
1.ni maeneo gani ambayo yanafaa kuwekeza kilimo cha mazao ya chakula
2. Gharama za kuandaa shamba hadi kuvuna mazao na nataka nianze na heka 50
3. Ni changamoto gani ambazo zinakabili sekta ya kilimo
5. Mambo gani haswa ya kuzingatia kabla ya kuwekeza kwenye kilimo
Tafadhali wadau wanaoelewa maswala ya kilimo naombeni mnisaidie..nashukuru na Mungu awabariki wote.

Hakuna mkoa ambao haulimi mazao ya chakula. Lakini ushauri wangu ni kwamba uanze na ekari 10 kwanza. Msimu unaofuata unaongeza mpk 25 unaenda ukiadjust kidogo kidogo. Nakushauri hivyo kwa kuwa hali ya hewa ya A.Mashariki ni tatizo pia. Kuanza na ekari 50 from scratch ni hatari ikiwa unakusudia kulima kibiashara. Wengi huanza na ekari 5 kwa msimu wa kwanza halafu unaofuata unakuwa umeshajua upepo unaelekea wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom