Recent content by fredy nyiti

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waganga Iringa wacharuka, wapinga kupotezwa wanaCCM watakaojitokeza kumpinga Rais Magufuli 2020

    Nadhani hii ndiyo awamu pekee ya uongozi iliyoweka record ya kuwa deffended mpaka na waganga wa jadi!! mtaelewa ni kwanini tunapaswa kuombea sana nchi yetu!😭😭
  2. F

    JamiiForums Tanzania TTCL Nimewanyoshea mikono nyie ni washenzi wa lagos

    NI *148*30#
  3. F

    JamiiForums Tanzania TTCL Nimewanyoshea mikono nyie ni washenzi wa lagos

    upo sahihi ni *148*30#
  4. F

    JamiiForums Tanzania Vile vifurushi vya Internet sh.500 mb 350 Kwa wiki sasa halotel wamevitoa

    mkuu unawapata kwa *148*30# chagua offer maalum then 7-7 offer.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Vile vifurushi vya Internet sh.500 mb 350 Kwa wiki sasa halotel wamevitoa

    hamia ttcl nyumbani kumenoga tsh 500 MB 777 wiki nzima tsh 500 dk 100 all networks wiki nzima.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

    Dada unakosea ukisema wote kwakuwa Mimi haujawahi kuziona naniliu zangu😁😁! wengine private parts huwa ndiyo priority yetu katika usafi
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ubora wa simu za Tecno dhidi ya Infinix....

    Ila watumiaji wa Samsung wanatudharau sana watumiaji wa tecno sijui kwanini😬😬 mtu kaomba ushauri kati ya tecno na infinix nyie mnaanza kumwambia ni bora anunue Samsung!!!!! embu wakuu tujaribu kuheshimu mawazo na maamuzi ya mtu,hatuwezi kuwa uniform wote,so far tukiamua wote kuhamia Samsung...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Marian Boys na Girls matokeo ya kidato cha sita

    ndo maana ukaitwa mtihani,hauwezi kila mwaka kuongoza wewe tu! Kuna mkuu kasema FEZA hupewa mtihani mwezi mmoja kabla,siyo kweli mwanangu anasoma pale hilo jambo halipo kinachowabeba FEZA ni aina ya wanafunzi wanaowachukuwa pamoja na mazingira BORA ya shule. interview ya form 5 wanafanya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    kwani WAKRISTO TUNAKWAMA WAPI??? Maziko ya mtu hayana uhusiano wowote na marehemu bali na waombolezaji!! Pale jana pangekuwa na MKUTANO WA INJILI isingewezekana wale watu wote kuhudhuria,ila msiba wa MZEE MENGI umewakusanya.Hivyo MUNGU anahitaji kusema na wale waombolezaji ya kuwa siku moja na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habar TBC hovyo kabisa

    Mkuu niliumia sana jmosi nilitest kuangalia TBC1 yani ni MAJANGA! haya matumizi ya kodi zetu ninaamini kwa 100% MUNGU hayafurahii kabisa. tuendelee kuomba Rehema kuizuia ghadhabu ya MUNGU. Jumatatatu kutwa wanarudia Ibada waliyoirekodi huko sijui karagwe wanawapa na airtime washirika kutuma...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Natafakari kuachana na Mitandao ya simu ya Tanzania baada ya TCRA kukosa weledi na kusababisha usumbufu wa kijinga sana

    kupata namba ya NIDA inakatwa tsh 100/= kwenye simu japo hawakutumii! *100x19,000,000(watu)=1,900,000,000. TAFAKARI CHUKUA HATUA
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha Principles of Physics for class XI, S Chand

    nitumie mkuu tafadhali 0784322335
  13. F

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha Principles of Physics for class XI, S Chand

    nitumie chand mkuu fredynyiti@gmail.com
  14. F

    JamiiForums Tanzania Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

    Gari automatic likizima likiwa kwenye D litaendelea kwenda na breack kama walivyosema wadau hazitashika labda handbrake. kina haya mabasi yaendayo haraka kwa wadarasalam wanayafaham, Yana buttons 3 kwa ajili ya kuweka gear, 1- D 2-N 3-R hayana P,huwa nawaona madereva wao wakisimama...
Back
Top Bottom