fredy nyiti
Member
- Dec 28, 2015
- 31
- 55
Mkuu niliumia sana jmosi nilitest kuangalia TBC1 yani ni MAJANGA!
haya matumizi ya kodi zetu ninaamini kwa 100% MUNGU hayafurahii kabisa.
tuendelee kuomba Rehema kuizuia ghadhabu ya MUNGU.
Jumatatatu kutwa wanarudia Ibada waliyoirekodi huko sijui karagwe wanawapa na airtime washirika kutuma salamu za pasaka kwa ndugu zao!!!!!!!!!!!!