Mosquito Repellant ni Android application (inayotoa utrasonic sound zenye very high pich kiasi ya kufukuza mosquito). Sidani kama hii program ina uhusiano wowote na Samsung Company (hata kama imekuja pre-installed), sababu haijatengenezwa na Samsung na simu yoyote unawezaitumia nayo kwa...
Rjohn, Labda ungeongeza maelezo ingesaidia ku narrow down.Nnazozijua kulingana na maelezo yako kuna:
Runaway Train - Hii ni ya mwaka 1985 kacheza Jon Voight
Unstoppable - Ya 2010 kacheza Denzel Washington
Money Train - Hii kacheza Wesley Snipes, ni ya mwaka 1995
Cassandra Crossing - Hii ni ya...
Inabidi uwe na smartphone, pamoja na app ya kuscan barcodes, then ukiifungua hiyo app ukiscan QR_CODE ya Mzee Mwanakijiji hapo, unapata message ifuatayo:
rockcitym@gmail.com
Agiza Nakala yako sasa
Agiza nakala ya kutabu cha "Majeruhi wa Mapenzi"
Riwaya ya M.M. Mwanakijiji. Mitaani kitauzwa kwa...
Picha hii nimeipiga kwa kutumia Nikon D7000
Settings zilikuwa: 1/60 sec at f/5.6, ISO 100 Tamron Lens 200mm (28.0 - 200.0mm f/3.8 - 5.6)
Baada ya hapo nikaiongeza logo ya Patek Philippe na signature yangu.
More photos @ Ishe Photography
lara 1, karibu JF.
Nakumbuka nilichangia thread ya Marketer kuhusu hili. Naomba nikwambie ogopa mtu anayekusifia hata unapoharibu, huyo hakutakii mema. Ukitaka maendeleo siku zote ni muhimu kuaccept white and black kama zilivyo, hiyo inakupa challenge ya kurekebisha na kuendelea mbele.
Inabidi...
SnowBall, inabidi ufanye maamuzi yenye busara na ambayo hayatakuja kukuletea tabu huko mbeleni. Huyo mchumba wako, kabla hujamuoa inabidi ujiridhishe na uaminifu wake kwenye mambo yanayohusiana na pesa. Hiyo scenario yako imerise some "red flags" ambazo unawezakuwa hukuwahi kuziona kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.