lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Kwanza kama muungwana nawasalimu! Wakubwa shikamooni na wadogo marahaba!
Mimi kama jina langu linavoonesha ni mwanamke, si msomi sana ila nimepitapita skuli japo mambo hayakuwa mazurii kivile ila kadegree ninacho.
Kwanini nimejiunga jf?
Kwanza kabisa mimi sikuwa mdau wa jf hata kwa kupita, ila juzi juzi nilifungua blog yangu www.tanzaniastylers.blogspot.com sasa nikahamasishwa na mdau mmoja anaitwa Marketer aniwekee post kuwakaribisha wadau, nikafurahi na kukubali. Sasa post ilipata too much negativity na bad press kutoka kwa wadau wa humu. Kidogo ni give up, bt i didnt. Ofcourse kati ya zile negativity nilijifunza mengi sana na nimeboresha kablog sana sana. Sababu za kujiunga kwangu kubwa ni
1. Wadau ni wengi sana na wana moyo wa kuchangia kila jambo. So jamvi liko active 100%
2. Uwazi na ukweli wa hali ya juu, kama njano unapewa live ni njano sio kuzugwa.
3.Jakwaa lina hazina ya vichwa na watu makini sana
Mabadiliko ninayotaka kuleta
1. Kuwe na jamvi la fashion na urembo
2.Kuwe na jamvi la wanawake ili tupate fargha kidogo kutoka kwa mibaba nyie.
Ntaletaje hayo mabadiliko?
Im still figuring that out.
"The end justify s the means"
Namalizia na kulikubali jamvi kuwa ni namba 1 tanzania.