Je Una Picha? Tutumie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Una Picha? Tutumie

Discussion in 'Jamii Photos' started by Muke Ya Muzungu, Jun 12, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mtu yeyote anayependa kupiga picha au mwenye picha yoyote ya kuvutia, mtu eneo, tukio na taswira za aina yoyote, tafadhali zitume kwenda kwenye blog ya Picha ya aina zote zinazosisimua zinakaribishwa ili mradi hazivunji maadili ya kijamii na pia haziumizi hisia za watu. Tuma picha zako kwenda
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Mtakuwa mnatoa sh ngapi kwa kila PICHA? make blog nyingi sana DUNIANI hununua picha sasa wewe unataka za bure
   
 3. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Embu fafanua kidogo kuh matumizi ya hizo picha

  Maelezo yakijitosheleza labda naweza kukutumia toka kwenye web yangu na zina kiashilia ni za kwangu
   
 4. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  hahahaha.....wanafuga mbwa kwa kutegemea makombo toka hotel ya jirani!
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Me nnazo,,,,pia nambie ni zanini
   
 6. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
Loading...