Recent content by FrediusSnowden

 1. FrediusSnowden

  Mashoto Tukutane hapa.

  [emoji23] [emoji23]
 2. FrediusSnowden

  Mashoto Tukutane hapa.

  Swali la mwisho tafadhali.
 3. FrediusSnowden

  Mashoto Tukutane hapa.

  Mkono wa mwili.
 4. FrediusSnowden

  Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

  Naona wasanii waigizaji wa sauti wanapambana.. Kwelikweli..
 5. FrediusSnowden

  Majibu gani hupendi kuyasikia ukiwa unatongoza

  Hehee.. Wakuu shemeji yenu anaendelea vizuri.. Nitawaletea mkasa na varangati lake.. Kuna mmoja alinijibu "mimi nina tu wangu".. Kwa bashasha na jeuri nikamwambia, "unadhani mimi sina mtu wangu?" nikatoa simu na kutafuta selfie moja akiwa amenibusu (yaani wife) nikamuonesha kisha nikamwambia...
 6. FrediusSnowden

  Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

  Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
 7. FrediusSnowden

  Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

  Mwalimu alikuwa zaidi. Na Wazungu walimu-undermine makusudi dhidi ya Madiba.
 8. FrediusSnowden

  Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

  Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
 9. FrediusSnowden

  Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!.

  Kuna habari juu ya miujiza ya fimbo ya Mwalimu Nyerere. Moja ya muujiza huo ni juu ya kijana mmoja aliyekuwa mtundu sana shuleni na nyumbani. Kijana huyo siku mwalimu Nyerere alipotembelea shuleni kwao walimu wake walimsemea kwa Nyerere. Basi mwalimu alimuita kisha akamgusa na fimbo yake huku...
 10. FrediusSnowden

  Inaitwa zoea nanga kabla haijanoa; mwanasiasa sio tunda bado tunangoja.

  Wasalamu, Ngoja ngoja inang'ata taifa ila bado hatujashtukia. Matusi mengi tunapewa na kuambiwa kwamba kizazi hiki ni cha mjusi; bado hakijasimama kijasiri kupigana. Niwazi kwamba moyo huu bado hauna tiba! Je kuna saa moja uliona muda ni mwanaharamu hauna maana kwa zama hizi? Pale mwanasiasa...
 11. FrediusSnowden

  Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

  Umenifanya nifikiri kwa kina; wale ambao huvaliwa na mizimu na kuagua watu. Wanaangukia wapi?
Top