Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Dudumizi kuelewa yataka juhudi kubwa sana.
Mkono wa mwili.
Mkono wa mwili.
Sana... ulijuaje?Wazee wa siku hizi nuksi sana
Amepata ziara ya siku nne kutembelea mwezini...Naniii asikatize hapa![]()
Amepata ziara ya siku nne kutembelea mwezini...



Sawa wacha tujimwayemwayeMashoto oyeeee!!!Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
hahaha si nnakuona weweSana... ulijuaje?
Mimi ni mashoto nachamba na mkono wa kulia right hand nakula na left handMnachambia mkono gani?
Unaitwa kule na mkeo achana kwanza na hawa watumiaji wa mkono wa kulia kwa huduma za chooni.Amepata ziara ya siku nne kutembelea mwezini...
Kauka basi, usimwambie mtu...hahaha si nnakuona wewe
Mimi ni mashoto nachamba na mkono wa kulia right hand nakula na left hand
Acha woga bana, yakoge mapenzi ya Babu.Naniii asikatize hapa![]()








Unaitwa kule na mkeo achana kwanza na hawa watumiaji wa mkono wa kulia kwa huduma za chooni.

Acha woga bana, yakoge mapenzi ya Babu.
Ya kake ni Dhahabu
Nitakuwa refa kama wale wa kwenye mieleka.Utanisaidia kurusha ngumi![]()