Recent content by freddy1974

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mh. Sumaye awatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo, atoa msaada wa mifuko 100 ya saruji

    Safi sana. Kuonyesha Upendo kwa wananchi waliokumbwa na maafa, umezaliwa kuwa KIONGOZI!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kuimarika kwa UKAWA kunawatia hofu kubwa CCM

    pamoja KAMANDA WA VITA
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupata pigo kubwa la kisiasa ndani ya wiki mbili zijazo!

    Njozi za mchana!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Huyo mkuu wa wilaya, ameamua kujilipua. Kwa kutangaza njaa wakati imekatazwa nadhani atatumbuliwa soon!. Nchi ipo KIJANI yeye anatangaza njaa!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais aagiza kupokonywa kwa Mihuri kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Nchi nzima

    Sarakasi tupu hii Nchi kwa sasa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Acha anyooshe Nchi kwanza, kwa kuwa ilikuwa imepinda!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Shein aongeza mshahara kwa asilimia 100

    Wamempata Rais anayejali watumishi. .Huku ni MATAMKO, UTUMBUAJI MAJIPU, VIPELE NA UHAKIKI USIOISHA!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

    Joh Makini ni mwanamuziki nguli. Ameanza mziki muda mrefu. Na amekuwa akiachia ngoma nzito. Huyo dogo Young killer afanye kazi.Aache kulalamika
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

    Kuota ndoto inabidi ukae kimya lakini ukiielezea kwa umma ni UCHOCHEZI
  10. F

    JamiiForums Tanzania Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

    Hata zama zake zitapita. Hakuna kipya chini ya JUA
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Hajapoteza Ubunge wake. Mbunge atapoteza nafasi yake akifungwa zaidi ya miezi sita. Kwa hiyo huyu Mbunge hapotezi Ubunge wake kama kifungo ni cha miezi sita. Pia anatakiwa akate rufaa ndani ya siku 30 kuanzia hukumu ilipotolewa leo hii
  12. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

    Huyu jamaa aliyepandisha kutoka asilimia nane mpaka kumi na tano percent ana akili ya KIFISADI!
Back
Top Bottom