Leo Rais wa Zanzibar amesema watumishi wa umma wameongezewa mishahara kwa 100%, kima cha chini kimrpanda toka 150000 hadi 300000.
SASA MAGUFULI SIJUI ATAONGEZA NGAPI? AU SISI BARA SOTE NI WATUMISHI HEWA?
SASA MAGUFULI SIJUI ATAONGEZA NGAPI? AU SISI BARA SOTE NI WATUMISHI HEWA?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein ametoa hotuba ya kuvutia sana na amepandisha mishahara kwa watumishi wa umma Zanzibar, Aidha katika kupanda huko kwa kima cha chini kutoka 150,000 hadi 300,000 ( 100%) katika kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar hivyo kuamsha ari kwa watumishi hao.