Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Ndani ya wiki mbili zijazo CHADEMA watagundua kwamba wananchi walishawapuuza, japo mwaka 2012 CHADEMA walitumia helkopta 3 katika kata 3 bila mfanikio hili la sasa litakuwa aibu kubwa kwani huenda mtu wakapigwa 20 kwa 0. Wanajidanganya kwenye mitandao kwa kuajiri watu wenye kazi moja tu kumiliki akaunti nyingi ili kupotosha bila kujua huko chini kunaendelea nini.
Kipigo hiki hakiepukiki huku tayari goli la kwanza limeshafungwa katika dakika y kwanza ya mchezo siku ambayo NEC walipotangaza kuanza kwa kampeni hadi sasa ni moja bila, tuendelee kujifariji kwa matusi na kejeli ila baada ya hapo ni mgogoro mkubwa wa kumtafuta mchawi.
Huko Dimani Unguja ni suala la kusubiri kutangazwa ushindi wa CCM kwa nafasi ya ubunge.
Watu wanaongea mambo mengi bila uhalisia wa maeneo husika, mtu anajipinda kuongopa kwa kutoa habari za sehemu asiyokuwepo. Ajizi nyumba ya njaa!.