Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

Mungu huyo siyo yule tumwaminiwe sisi wanyonge.mungu huyu ni wa kwako na yeye tu.Hakuna Mungu wa Visasi, chuki au ubaguzi.Msitudanganye na Mungu yenu mnayoijua wenyewe
Yaani kushurutishwa kuishi kwa kufuata sheria za nchi ndio chuki..?? Nani kabaguliwa nchi hii?? Visasi vipi?? Au sababu shemeji yenu sioi sumari yupo ndani ndio mnaita visasi..?? Wenye chuki ni wale waliosema ni heshima kwa mungu kumtukana na kumzomea Mzee wenu huko.
 
Magufuli ni chaguo la Mungu anayesema ni dikteta aende Gambia akaone mfano.
Hakuna Rais Tanzania hii watu walishaacha kusema ni chaguo la Mungu.

Kama Rais wa kwanza yeye naona anakaribia kuwa Mtakatifu wa Kanisa Katoliki

Yawezekana huko gambia pia watu wanasema huyo dikteta ni chaguo la "mungu" aidha kwa "mahaba" au woga.
 
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,


Dah Magufuli!!!!!!!!!!!

15. Magu si mtu wa mchezo mchezo mana kasepa na fedha za maafa ya tetemeko na hakuna wa kumhoji kama ilivyo kawaida ya wanaCCM.
 
Nchi ilikuwa imepinda ilikuwa imepinda kuelekea wapi!!??
Kuelekea shimoni..we hujui ilifikia hatua serikali inashindwa kuwalipa wafanyakazi ikabidi kina bakhresa na wafanyabiashara wengine wakubwa ndio waifanye kazi hiyo kwa makubaliano maalum na serikali..inawezekana humu wengi wenu mlikuwa hamjui nchi ilikuwa inakwenda wapi..tunaojua haya ni wachache ndio tunawaambia kila siku acheni mihemko nyie wazungusha mikono na viuno..hata sie pia tulikuwa upinzani ila tumeliacha tingatinga litengeneze barabara kwenye msitu..
 
15. Magu si mtu wa mchezo mchezo mana kasepa na fedha za maafa ya tetemeko na hakuna wa kumhoji kama ilivyo kawaida ya wanaCCM.
Tukiwapa hizo hela za maafa hawatahitaji tena Huduma za serikali..ni sawa na mgeni kaja kwenu akampa mzazi wako hela ili akupatie ya kutumia shule..hivi mzazi akikununulia viatu utanuna?? Hutavivaa sababu ulitaka ukanunue bazoka au chostic au goodgood?? Je ukipewa hiyo pesa ndio itakuwa mwisho wa mahitaji yako kwa Mzee wako??
 
Tukiwapa hizo hela za maafa hawatahitaji tena Huduma za serikali..ni sawa na mgeni kaja kwenu akampa mzazi wako hela ili akupatie ya kutumia shule..hivi mzazi akikununulia viatu utanuna?? Hutavivaa sababu ulitaka ukanunue bazoka au chostic au goodgood?? Je ukipewa hiyo pesa ndio itakuwa mwisho wa mahitaji yako kwa Mzee wako??
Mwambie
 
Back
Top Bottom