Rais Magufuli akubali ombi la DC wa Uyui aliyejiuzulu

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,517
14,148
Hajakimbia bali kaomba nafasi hiyo apewe mwenye mapafu ya chuma akimbie mchakamchaka wa Magufuli.

Ikulu Mnyele.png
 
Safi sana, makada wapo wengi, acha wapewe wengine nafasi hiyo japo kwa utawala huu unaweza ukawa unakonda kila junapokucha! Ushauri, Mhe. aruhusu makada wanaodhani wanaweza watume maombi ya kazi hiyo achambue ili kupunguza lawama!
 
Swali ndogo, hivi kwa mazingira hayo angeweza kukataa? !

Km mimi ningekuwa Rais wala hata nisingesumbuka kumjibu, ningeteua mwingine kimya kimya. Refer story ya Nyerere na yule waziri mdogo wa UK aliyeonekana changudoa.

Pamoja na kuandika barua ya kujiuzuru Magreth Thatcher hakusumbuka hata kumjibu alichagua mwingine kimya kimya.

Simaanishi kwamba huyo DC ametenda kosa kama la waziri mdogo wa UK, hapana. Ila ameidhalilisha Taasisi ya Urais kwamba inateuwa watu bila kuwafanyia VETTING lakini pia wateuliwa huwa huwaulizwi kama wanakubali teuzi hizo kabla ya kutangazwa. Hii ni kashifa kubwa sana kwa Taasisi ya juu sana nchini
 
1485533205266.jpg
 
we ulitakaje hao wakuu kama hawajiheshimu wanaheshiwiweje,ni fundisho kila mmoja lazima aheshimiwe
 
Huyu hakuwa mwana siasa. Ni mwana sharia. Amefanya kazi sana na Mzee Malandu.
Kilichomponza ni uungwana wa kutomkatalia Mtoto wa Mkulima (Pinda) alipompendekeza kuwa DC baada ya kushindwa ubunge huko kwao Sumbawanga. Kwa hiyo akaja kukutwa na JPM humo humo. Akarithiwa bila kuulizwa kama anapenda kufanya kazi na awamu hii.

Hii ndiyo logic kila rais mpya kuja na watu wake.
 
Hili ni fundisho kwa wanaodhani kila mtu anaushadidia u DC, kuna watu na kazi zao za heshima sio hizi za kudhalilishana mbele za watoto na kujitoa ufahamu huku ukiambulia take home ya m2.
 
Back
Top Bottom